Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

Japo alisaliti lakini kaongea ukweli tupu
 
Anataka ubunge wa karatu
 
Asante Dkt. Wilbrod Slaa. Nakusikiliza Mtanganyika Mwenzangu
 
Slaani Mroma,na hivyo Slaa ni mdini sana,Yaani Maovu ya Magufuli hakuyaona kwa kuwa alikuwa anapigania dini yake.

Mama ni Mwislaam na Slaa hana maslahi nae,kwahiyo lazima Arudi Chadema.

Huo ndio ukweli
 
Chadema ni majuha hayana akili. Lowassa aliyezaliwa ndani ya CCM walimuamini, alafu Leo wanasema hawamuamini slaa
Hata Salaaa si alikuwa CCM kabla ya kwenda CDM? UNAWAZA KWA KUTUMIA UTUMBO MPANA?
 
Kama tulimwamini mkt Kwa kukubali kwenda jumba jeupe kuzungumza na waliomfunga bila idhini na ruhusa ya chama, iweje Kwa Dr Mihogo?
Alokudanganya nani? Rais Samia anashika madaraka kamati kuu ombi la kwanza ilikuwa kuomba mazungumzo ya Mwafaka wa kitaifa. Umesahau historia ndani ya muda mfupi
 
Alokudanganya nani? Rais Samia anashika madaraka kamati kuu ombi la kwanza ilikuwa kuomba mazungumzo ya Mwafaka wa kitaifa. Umesahau historia ndani ya muda mfupi
Time Ile walikuwa na bashasha Hadi kumwita Anaupiga mwingi'', hawakujua atafungwa 8 months.
 
Hizo porojo alisema huyo jiwe na akaishia kufa yeye tu.
Chadema ni habari nyingine dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…