Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ujumbe mujarab huu ! 🙏🙏
 
Huyu mzee akseme vizuri yeye anahusiana vipi na uchaguzi wa chadema. Alikiacha chama, sio mwanachama.

Hizo shutuma zake, ziwe na ushahidi. Atolewe kabisa huo wadhifa wa ubalozi.
 
Akikaaa week tu uko akitoka anakuwa mdogo kama sio yeye!! Uyu mzee wetu Anataka watu wamuone kama DK Slaa yuleeeee wa kabla ajalamba DIL CCM JPM RIP.
 
Yeah Slaaha hana uongo
 
Hata akitoa ushahidi nani atakayesema?
 
Si amtaje huyo aliyemwambia (ofisa usalama)ili nae athibitishe kwamba alimwambia Slaa.
Upelelezi ndio utaamua hatua zinazofuata sio assumption.
Kamwe hawawezi kumpeleka mahakamani maana wanajua Slaa hajasema uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…