Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Pre GE2025 Dkt. Slaa akamatwa usiku nyumbani kwake Mbweni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mliwahi kumpeleke Mirembe,kumchunguza

TAARIFA KWA UMMA.

MIREMBE HOSPITAL DODOMA !!!

!Habari marafiki: Taasisi ya Tiba kwa Ushauri ya Hospital ya Mirembe Dodoma inasema : -

Kiwango ambacho watu hufa ghafla kinazidi kutisha. Wengi wetu tunajua kuwa tunapitia kipindi cha kufadhaika, kuchanganyikiwa, hofu, mfadhaiko, msongo wa Mawazo, nk.

Sababu hizi zote huongeza hatari ya shinikizo la damu, ambayo pia husababisha kushindwa kwa moyo au kiharusi, na bila shaka husababisha kifo cha ghafla, ambacho sasa ni cha kawaida.

Tafadhali, epuka kukasirishwa kirahisi na watoto wako, marafiki zako, wafanyakazi wenzako, wakubwa wako, wasaidizi wako, wapenzi, waume na wake.

Epuka kujibu kwa ukali. Jitenge na usumbufu. Epuka kuwaza kupita kiasi.

Wakati huna pesa au chakula ndani ya nyumba, kaa kwa kutulia na kujipanga.

Ikiwa wakati fulani hukuhudhuria arusi ya jamaa yako kwa sababu ya kukosa zawadi ambayo huwezi kutoa, matukio mengine.
usikope kununua zawadi.

Usikope pesa kusaidia watu. Saidia unapoweza na usivunje kibubu ili kuwafurahisha wengine. Watapata kila kitu wakati wakihitaji kitu cha kuishi, hata bila wewe.

Epuka kurushiana maneno na watu nyumbani, sokoni, ofisini, barabarani n.k.

Daima angalia shinikizo la damu yako. Chukua dawa yako endapo unaumwa. Fuata maagizo ya madaktari na fanya mazoezi mara kwa mara.

Wasiliana na daktari wako mara moja ikiwa unaona mabadiliko yoyote katika mwili wako hasa katika eneo la kifua.

Ishi kwa amani.
Kamwe usipigane na mtu yeyote.

Usiwe na wasiwasi juu ya kitu chochote, lakini OMBA MUNGU kila wakati.

Afya yako ni ya thamani kuliko vitu vyote duniani.
Jihadharini na uchokozi uliohamishwa.

Baki hai kwa ajili yako mwenyewe.

Baki hai kwa ajili ya familia yako.

Baki hai kwa ajili ya kesho yako tukufu.

Baki hai kwa ajili yangu, labda utanisaidia kesho.

Tuna nafasi moja tu ya kuishi.

Usife kabla ya wakati wako.

Awamu hii itaisha.

Kila kitu kitakuwa sawa ...

Mungu atubariki sote!

Ujumbe huu ni muhimu. Tafadhali, usambaze kwenye majukwaa yote na kwa rafiki zako wote, huwezi kujua ni nani atakayeokolewa nayo.

Tupendane tukiwa hai na wenye afya njema.

MWAKA WA UCHAGUZI HUU,2025 TUPIGE KURA KWA WATU SAHIHI NA VIONGOZI STAHIKI TUSIANGALIE MTU MACHONI TUMUANGALIE KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE

Ujumbe mujarab huu ! 🙏🙏
 
Huyu mzee akseme vizuri yeye anahusiana vipi na uchaguzi wa chadema. Alikiacha chama, sio mwanachama.

Hizo shutuma zake, ziwe na ushahidi. Atolewe kabisa huo wadhifa wa ubalozi.
 
Dr Slaa amekamatwa usiku huu.

Inasemekana amepelekwa kituo cha Polisi Mbweni.

Matukio ya kiusalama kuelekea uchaguzi mkuu 2025 angalia hapa: Kuelekea 2025 - Uzi Maalum wa Matukio ya Kiusalama kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza kwa njia ya simu Dkt. Slaa ameeleza kuwa, polisi wamefika nyumbani kwake na kumchukua na kuelekea naye kituo cha polisi Mbweni.

- Kuelekea 2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma pia: Dkt. Slaa: Tundu Lissu anafaa kuwa Rais wa JMT leo na siyo Oktoba 2025...

View attachment 3197059
Akikaaa week tu uko akitoka anakuwa mdogo kama sio yeye!! Uyu mzee wetu Anataka watu wamuone kama DK Slaa yuleeeee wa kabla ajalamba DIL CCM JPM RIP.
 
Tunashindia mihogo huku canada
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    443.7 KB · Views: 2
Slaa hajawahi sema uongo miaka yake yote tokea kwa Mkapa hadi Sasahivi hata hakina Lissu na Mbowe walikuwa wakitembelea nyota ya Slaa,waga haropoki huyu Mzee ukiona ametamka kitu jua ananyaraka tiyari, aliwahi kumtaja Mkapa kwenye rist ya mafisadi wakati hakiwa rais.
Yeah Slaaha hana uongo
 
Unaposema umepata habari kutoka TISS ni kuharibu taswira ya TISS. Huwezi kufanya hivyo kwenye Nchi yeyote yenye utawala wa sheria. Athibitishe kauli kwani yeye sio Mwandishi wa habari kwa hiyo halindwi na sheria ya kutomtaja source wa habari yake. Hali hii ikiendelea itafanya watu wakose imani na kuanza kujiuliza kuhusu uweledi wa chombo hicho muhimu.
Huwezi kudai tu bila uthibitisho. Kwa hiyo burden ya proof kwa madai yake ipo kwake.
Hata akitoa ushahidi nani atakayesema?
 
Si amtaje huyo aliyemwambia (ofisa usalama)ili nae athibitishe kwamba alimwambia Slaa.
Upelelezi ndio utaamua hatua zinazofuata sio assumption.
Kamwe hawawezi kumpeleka mahakamani maana wanajua Slaa hajasema uongo.
 
Back
Top Bottom