Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

Ninashauri kwa wale ambao wakisali hutamka Mungu wa Ibrahim, Shadrak, Meshak na Abednego, wanaweza kuondoa hayo majina na kutamka MUNGU WA MAMA SAMIA kwa sababu hao wengine hatujawaona ila Mama Samia tumemuona jinsi Mungu alivyombariki.
mama Mungu wake ni nani
 
Ni Aya gani au hadithi gani katika Uislamu imeruhusu kula nguruwe ikidai ni sunna? Na unajua sunna maana yake nini? Usiongee kitu ambacho huna uhakika nacho ndugu.
Nguruwe si halali kwa muislam au Mkristo,maana si salama kwa afya.
 
Mungu ni roho na Roho inayo uwezo wa kuvaa mwili au umbo lolote mfano Yesu ni Mungu katika mwili.
God is above all ni undefined
 
Moja ya watu wenye ufahamu mdogo mno wa dini yake ni Sule.
Nadhan angebakia kwenye kumuelezea nyuki na Miti shamba

Uislam halielezwi jambo lolote kwa maoni ya Mtu aonavyo bali tunachukua kilichoelezwa kutoka katika
QUR'AN & HADEETH na pia KUTOKA KWA WANA WA CHUONI WA UMMA HUU.
Sule anatakiwa atulie ,si kila pahala lazma atokeze.

Kosa lingine aliloeleza hapo ni HARMONIZE si Muslim na sababu anayoitaja ni Muziki ni Haram
Si kila dhambi inamtoa Mtu katika dini, ana references za jambo hili?
Kunywa Pombe, zinaa, muziki, kamali,, kula pork baadhi ni ktk madhambi makubwa ila hayamtoi mtu katika dini
 
Imani haiongozwi na logic
 
Dini ni matendo kama unafanya matendo kinyume na dini means wewe si mwanadini,dini ukataza maasi
 
Lakin kina hamo wao kwenye hizo loji zao ufundishwa mungu ni mwanamke so yupo sahihi Kwa Imani yake na sio sahihi kwa imani kupitia hizi Abrahamic religion
 
Wazee wetu walikuwa gizani wakiabudu wasichokijua
 
Umeeleza vizuri mwanzoni kwamba ni maoni binafsi.

Ila Imani haiongozwi na maono maana kuna maandiko.

Unapokosea ni kutaka viongozi wa dini wawe open minded, wakati kuna maandiko.
Ingekua hivyo kungekua na Mtume mmoja tu wa kipindi kimoja tu au?

Maana kama Imani haiongozwi na maono mitume wengine walipata wapi wito wao?

Wale wote walioyagusa maisha kwa namna moja ama nyingine walitudanganya waliposema “walipata maono fulani na fulani?
 
Kama Mungu hajawahi maindi kuitwa Baba na tunajua hana jinsia iweje akiitwa Mama mnamaindi nyie washamba wa nanyumbu?
Hauoni contradiction hapo?
 
Mkuu,mkuu nakuita mara mbili. Wasipokuelewa hapa (hawa watu wa dini),ndio basi tena. Itabidi wabakie tu kuviishi vitabu vyao vilivyo jaa hadithi za kufundishia. Over.
 
🤝👏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…