Kumbe umekubali niwajibu wao wakupitishie bajeti ya ruzuku ya chama chako ili upate fedha za kununulia bando la kuwatukana hapa mitandaoni.
Hilo Bunge hata lisipokuwepo, unadhani ni nini kitakachobadilika zaidi ya kuokoa pesa tunayowalipa bila faida yoyote toka kwao?Bajeti ya serikali inapitishwa na nanii?? Sio Hilo binge unalolisimangaa?? Huku ukisahau ndiko linalopitusha bajeti ili na wewe chama chako kipate ruzuku
Wakipitisha kama wajibu na chama chako kinapata mkwanja.Kwa taarifa yako wanapitisha kama wajibu wa bunge kisheria na kufuata formalities tu, lakini hawastahili kufanya kazi hiyo. Hayo ni majizi ya kura yaliyo bungeni bila ridhaa ya umma. Hata hilo bunge kibogoyo lisipokuwepo kila kitu kitaenda sawa.
Mbona huwakatazi wasipitishe bajeti ya serikali inayolipa ruzuku ya chama chako?Hilo Bunge hata lisipokuwepo, unadhani ni nini kitakachobadilika zaidi ya kuokoa pesa tunayowalipa bila faida yoyote toka kwao?
Yaani [emoji23][emoji23] [emoji23] Unaweza kuugua magonjwa yasiyotibika ukiamua serious kufuatilia haya mambo.
Wakipitisha kama wajibu na chama chako kinapata mkwanja.
Mbona mlijibaraguza eti hamchukui baada ya njaa kuwa Kali mlinyakua karuzuku kama mwewe.Waambie wasipitishe ili tujue kama wana uwezo wa kuzuia.
Mbona mlijibaraguza eti hamchukui baada ya njaa kuwa Kali mlinyakua karuzuku kama mwewe.
Kama sio msemaji, wao mbona povu jingi saana. Kubalini ka asali nikatamu bwashee, usijibaraguzeMimi sio msemaji wa hicho chama, ni vyema ukamfuata msemaji wa hicho chama akuambie sababu ya wao kuchukua, maana mimi sio muumini wa kuchukua hizo pesa za uchaguzi wa kishenzi vile. Hata hivyo hiyo sio hoja yangu, hoja yangu ni kuwa hilo ni bunge kibogoyo, na halina chochote linaweza kufanya nje ya maagizo ya serikali.
Kwahiyo ww hili povu ndio spika wa bunge, au ndio unayeidhinisha hizo hela za ruzuku?Kama sio msemaji, wao mbona povu jingi saana. Kubalini ka asali nikatamu bwashee, usijibaraguze
Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023
Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria.
==========
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22 itajadiliwa kwenye mkutano ujao wa bunge, Novemba 2023, baada ya kamati za hesabu za Serikali kumaliza kazi zake.
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na mbunge sasa kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu mkutano wa sasa wa bunge ni wa bajeti na si kujadili ripoti hiyo.
View attachment 2586406
Source: Swahili Times
Kwani mkwanja wa ruzuku hamvutiiii?Kwahiyo ww hili povu ndio spika wa bunge, au ndio unayeidhinisha hizo hela za ruzuku?
Kwani mkwanja wa ruzuku hamvutiiii?
Kwani tunazungumzia hasara? Hapa tunazungumzia ukanjanja wenu wa kujibaraguza. Kumbe njaa inawasumbuaTunavuta, je CCM wamepata hasara ya shilingi ngapi kwenye hiyo ruzuku ya cdm?
Kwani tunazungumzia hasara? Hapa tunazungumzia ukanjanja wenu wa kujibaraguza. Kumbe njaa inawasumbua
Kumbe na nyie mnanjaa Kali Sanaa. Tulieni CCM itawalishaa msihofuuKuna mtanzania asiye na njaa, hebu nitajie hata wawili kwa kuanzia na hayo majizi ya kura ya CCM.
Tanzania dawa ni moja tu kuiondoa CCM madarakani, shida hakuna wapinzani wa kweli Tanzania hii.Soon tutafika mwisho na kipindi hicho wajinga wakifa na waelevu wakizaliwa kama upo Tanzania na upo hai wew ni mjinga mmoja, tusubir kizazi cha waelevu wakija kubadilisha uwalisia na sio sis. Mpaka November?
Needs katiba mpya
Needs new government
Needs new political party
Needs new face