Hiyo bajeti inatekelezwa na nani kama wizi na ufisadi umetamalaki?. Unajadili bajeti itakayoenda kuliwa na wajanja.
 
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge halitachukua hoja zitakazochangiwa na mbunge sasa kuhusu ripoti ya CAG kwa sababu mkutano wa sasa wa bunge ni wa bajeti na si kujadili ripoti hiyo.

Source:
Sasa wanajadili matumizi gani bila reflection ya usafi wa matumizi hayo?

Bunge dhaifu
Serikali dhaifu
Watanzania ndo wanaumia
 
Lazima mtetee ufisadi eti kasoro za ukaguzi. Huyo mama yako alikuwa anamwambia nani apishe ? Kama sio wizi?. Acheni utani.
 
Lengo gani ?. La kuwalinda mafisadi?. Huyo anamlinda mme wake, ambaye ana tuhuma za ufisadi.
Kama lengo la kikao bajeti ijadiliwe bajeti, kama ni muda muafaka kufanya mapitio ya report ya sieijii na iwe hivyo
 
Kama lengo la kikao bajeti ijadiliwe bajeti, kama ni muda muafaka kufanya mapitio ya report ya sieijii na iwe hivyo

Yani ufisadi unapewa muda?. Mnajadili bajeti ya watu kwenda kupiga tena pesa?. Tangu Tulia aseme rais halazimishwi kufuata ushauri wa bunge nilimuona kilaza first class. Spika wa hovyo kutokea. Jinga kabisa.
 
Econimist umekuja kuwaje?

Point yangu ni kwamba , unajadilije bajeti wakati robo ya bajeti iliyopita imepigwa?. Unajadili bajeti kwa ajili ya kuliwa au kufanya kazi?. Wangeanza kwa kujadili ripoti hata kwa wiki moja halafu , halafu watoe maazimio kama ya richmond.
 
Uko na very clear point
 
Hata wasipojadili poa tu.maana tunajua bunge linaongozwa na spika kibogoyo ambaye hutetea kuilinda serikali hata kama imefanya upuuzi.
 
Kamati ya hesabu za serikali ambayo inapaswa kuongozwa na mbunge wa upinzani ilinajisiwa na Ndugai baada ya kumtoa Zito na kumpa mbunge ex-ccm na sasa ex- Chadema Kaboyoka
Huyu mama yupo yupo tuu hajui lolote kwa term mbili hizi akiongoza kamati hiyo.
 
Yani ufisadi unapewa muda?. Mnajadili bajeti ya watu kwenda kupiga tena pesa?. Tangu Tulia aseme rais halazimishwi kufuata ushauri wa bunge nilimuona kilaza first class. Spika wa hovyo kutokea. Jinga kabisa.

HUWEZI endesha kikao cha bunge bila utaratibu
Muda wa BAJETI wakianza kuchambua ripoti ya CAG hiyo bajeti itajadiliwa lini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…