Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

Ni sawa.Asante kwa kunitanabahisha kila mmoja ana namna yake ya kulihimili jambo.
 
Tumevurugwaaaa. Mke wangu, kabla ya ndoa nilimwekea bayana kwamba hiyo 50/50 iishie huko barabarani (Nnje) huku ndani Mume ndo kichwa cha nyumba - akaitika ndiyo nimekubali.
 
Yaan bila kuhusisha Ushoga huwa hamridhiki kabisa, sasa hapa Ushoga au mashoga wanahusikajee??
 
Nini suluhisho la hili sasa?
Tujitambue(Tuukubali ukweli), Tuwajibike (Kila mmoja akiri na kujutia/aoombe msamaha pale alipokosea) na Tushirikiane kwa matendo(Kila aliyekengeuka akubali kujirudi -kwa gharama zake).
 
Tujitambue(Tuukubali ukweli), Tuwajibike (Kila mmoja akiri na kujutia/aoombe msamaha pale alipokosea) na Tushirikiane kwa matendo(Kila aliyekengeuka akubali kujirudi -kwa gharama zake).
Oooh basi sawa
 
Anayekupendea nini mkuu?

Anayekupendea UANAUME WAKO..kama huyu mwanamke tajiri ndugu zake walikuwa wanasema wakimkaripia kila siku eti KWANINI yeye tajiri na profesa msominsana halafu KUOLEWA NA MWALIMU..wanamkataza wanatamani wavunje hiyo ndoa eti KWANINI kaolewa na mwalimu??

Jibu lake:;
MIMI(Yani yeye MWANAMKE)...Akajibu SIJAOLEWA NA MWALIMU ILA AMEOLEWA NA MWANAUME
 
Yaan bila kuhusisha Ushoga huwa hamridhiki kabisa, sasa hapa Ushoga au mashoga wanahusikajee??
Inashangazasana. Hatujasikia shoga aliyeuawa kwa kitu chenye ncha kali lakini ghafla bin vuu, jamaa amechomekea hizo habari.
 
Ni sawa. Lakini Je, Ikitokea kwa bahati mbaya e.g. kwa ugonjwa au ajali na huyo mwanaume akapoteza Uanaume wake itakuwaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…