Dodoma: Adaiwa Kumuua Mkewe kwa kumchoma kitu chenye ncha kali shingoni

Dunia ya sasa hivi watu wanajiingiza kwenye ndoa kwa ajili ya kunufaika, Ndoa za mkataba ndiyo suluhusho wa mauaji ya wanandoa, Maana kama kuna sintofaham yoyote katika kipindi cha mkataba, basi huwo mkataba usitishwe Mara moja.
Yes. Akina Ke waanze sasa kuachana na Tabia ya kuwa ving'ang'anizi eti "tumechuma hizi mali kwa pamoja"
 
Zamu ya kobaz sasa hivi.

hydroxo Makebo
 
Kila kona kuna mambo ya moto...wahaya nao wapooo
 

Attachments

  • IMG-20261008-WA0064.jpg
    77.7 KB · Views: 4
Hakuna aliyemloga bali Me kajiloga mwenyewe. Mwanaume unaenda kujitundika dripu(Pombe) halafu unarudi nyumbani etti kufanya maamuzi ya jambo zito la kifamilia - unategemea nini? Kuumbaf' sana.
Sad, he'll spend the rest of his fucking life behind bars until the law states otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…