Juu ya hizo comments maana yake ni kwamba hawana uhalali wa wananchi na ndio maana wananchi huwaombea mabaya wafikwe na mabalaa. Kama ni dua la kuku subiria likishatokea lolote juu yao njo useme tena ni dua la kuku.dua la kuku kwa mwewe bana, hua ni vichekesho sana dah π
Comment zinaonesha the true filling of citizen kwa wabunge wao, pekee asiye na akili ataona wananchi wanajifurahisha lkn kuna ujumbe mzito kwenye hizo Comments!dua la kuku kwa mwewe bana, hua ni vichekesho sana dah π
Chuki inasababishwa na wao,View attachment 3170723hali ni mbaya, watu wanachuki saaana
hata kuku ndivyo anavyomuombeaga mwewe hivyo,Juu ya hizo comments maana yake ni kwamba hawana uhalali wa wananchi na ndio maana wananchi huwaombea mabaya wafikwe na mabalaa. Kama ni dua la kuku subiria likishatokea lolote juu yao njo useme tena ni dua la kuku.
Ni kiongozi gani anaefikwa na balaa asiombewe dua ni wananchi wake? Jitathimini nchi hiyo sio mali ya ccm kwamba wafanye wanavyotaka kwasababu tu hutumia policcm kubakia hapo.
Daah aisee!watanzania tumefika huku wakuu??daaahView attachment 3170723hali ni mbaya, watu wanachuki saaana
kuku wote humuombea mwewe mabaya but at the end kuku ndie anakua the first victim wa maombi yake mabaya kwa mwewe.Comment zinaonesha the true filling of citizen kwa wabunge wao, pekee asiye na akili ataona wananchi wanajifurahisha lkn kuna ujumbe mzito kwenye hizo Comments!
Ulitamka haya hata awamu ya tano lkn March 17 iliamua!kuku wote humuombea mwewe mabaya but at the end kuku ndie anakua the first victim wa maombi yake mabaya kwa mwewe.
ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila Jambo π
hakuna haja ya huruma gentleman,Mi namuonea huruma mwenye gari tu hao wengine hata sitaki kujua kilichowakuta.
yako mambo ambayo hakuna haja kumbwelambwela na ushirikiana wako gentleman,Ulitamka haya hata awamu ya tano lkn March 17 iliamua!
Huo ni uzembe tu. Ingekuwa planned by true professionals , asingetoka hata mmoja hapoPlanned accident
Highest point of stupidity!!yako mambo ambayo hakuna haja kumbwelambwela na ushirikiana wako gentleman,
kila nafsi itaonja umauti sawa sawa na kadiri ya mapenzi ya Mungu, na sio ushirikiana, mihemko na makasiriko yako, right π
Hao ni Machadema wa mitandaoni Huwa wanagombea mabaya Nchi na Viongozi wake.Watu wamechoka hizo 99% zilitoka wapi?
View attachment 3170716