ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Juu ya hizo comments maana yake ni kwamba hawana uhalali wa wananchi na ndio maana wananchi huwaombea mabaya wafikwe na mabalaa. Kama ni dua la kuku subiria likishatokea lolote juu yao njo useme tena ni dua la kuku.dua la kuku kwa mwewe bana, hua ni vichekesho sana dah 🐒
Ni kiongozi gani anaefikwa na balaa asiombewe dua ni wananchi wake? Jitathimini nchi hiyo sio mali ya ccm kwamba wafanye wanavyotaka kwasababu tu hutumia policcm kubakia hapo.