Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Hili jukwaa limeshaingiliwa na wavuta bangi hadi limekosa maana. Heshima ya JF imeshuka sana. Huku sasa hivi ni umbeya na upuuzi tu.
😜😜 Ukiona hivi ujue kuna mtu wa mwaloni kule Mwanza kapewa dozi ,tulia dozi ikuingie Mzee..

Mara nyingi nawaambia Mwanza sio Jiji kuna mrundikano wa washamba tuu.
 
Unauliza mipango Miji Tanzania? Kwa muktadha wako hakuna Mji hapa Tanzania ambao haujapimwa katikati ya Mji,haupo..

Miji ya Tanzania imepimwa katikati tuu ikiwemo baba la slums Dar.
 
Arusha uthenge mtupu Hamna kitu kila mtu mjini kavaa mchafu mchafu hamna kitu pia ,watu wamefika mpaka dubai ,south wakija dar wanaona takataka kifupi dar na mwanza labda na dodoma kuliko bakia ni ovyo tu.
Naona na huku mnapigwa za kisogoni 😁😁😁😁
 
Iwe na watu laki 5
Iwe na uwezo wa kujitegemea kimapato asilimia 95
iwe na makao makuu ya mkoa
Iwe na miundombinu ya kutosha
Na wakazi wake wasiwe wanaotegemea kilimo kama shughuli ya kiuchumi
Mwanza inazidi kukataliwa 😁😁😁😁
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Hakukanyaga chini? Na huyu aliyeenda kuonana na Mzee Ruksa ni nani?
 
Mwanza iendelee kubaki kuwa jiji, ila kwa Dodoma, Tanga na Mbeya naunga hoja mkono
Mwanza imeizidi nini Mbeya,Tanga au Dodoma?

Mwanza ya hovyo hiyo ambayo haina barabara Wala Vyuo?

Mji umejaa uswazi na slums tupu ndio unasema ni Jiji? Kuwa serious Mzee.
 
Na dar unasrmaje mkuu, mNA DSR NDO JIJI CHAFU na halijapangws kuliko majiji yote ukitaka kuona dsr ni kama kichska shuka kwa ndege
Kinachoibeba Dar ni tubarabara,majengo marefu,na vimitaa vichache vya wenye nazo..

Ila hapo Dar sasa ndio Makao makuu ya uswazi na uchafu kuanzia Posta hadi gongolamboto huko..

Tzn hapa Majiji nayoyakubali ni Arusha na Dom tuu..

Dom ina sifa zote za kuwa Jiji la kisasa kuanzia kupangwa hadi miundombinu Bora kabisa inayojengwa..
 
Nakubaliana na wewe mkuu, mbumbumbu wengi wanaokuja Mbeya eti huwa wanatka wakute majengo yoote yamerundikana CBD ndio waseme Jiji 🀣🀣..

Pili utasikia ooh Mbeya haijapangwa,sasa waambie wakutajie wapi kumepangwa holaaa..

Na blaa blaa zingine za kutunga kama kusema hakuna mzunguko wa pesa wakati ni uongo,Mbeya imejaa vyuo hiyo na iko mpakani inawezaje kukosa mzunguko wa Hela?

Mwisho watakwambia hakuna barabara,at least hii Ina make sense ila nalo linakwenda kuondolewa by 2025 maana mwaka huu ujenzi wa barabara njia 4 km 32 zinaanza kujengwa..

Zamitaani zinajengwa Kila mwaka na Vumbi limepungua..
 
Pamoja na maisha yenu ya huko Dar kamwe siwezi ishi sehemu kama hiyo maana robo tatu ya watu wanaishi kwenye slums,Mji unanuka,watu ni wengi hatari na ufirauni wa kuzidi..

Mikoani hayo mambo ya hovyo hayapo.
Na ushamba wako utaiwezea wap dar ..ndo maana unaogopa [emoji12][emoji28][emoji28]
 
Washamba na mburula Ndio wanaweza sema Mwanza ni Jiji..

Narudia tena Tzn ina Majiji 3 tuu nayo ni Dar is Slum,Dodoma na Arusha..

Mengine ni majiji tazamiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…