The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
😜😜 Ukiona hivi ujue kuna mtu wa mwaloni kule Mwanza kapewa dozi ,tulia dozi ikuingie Mzee..Hili jukwaa limeshaingiliwa na wavuta bangi hadi limekosa maana. Heshima ya JF imeshuka sana. Huku sasa hivi ni umbeya na upuuzi tu.
Mara nyingi nawaambia Mwanza sio Jiji kuna mrundikano wa washamba tuu.