Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Hili jukwaa limeshaingiliwa na wavuta bangi hadi limekosa maana. Heshima ya JF imeshuka sana. Huku sasa hivi ni umbeya na upuuzi tu.
😜😜 Ukiona hivi ujue kuna mtu wa mwaloni kule Mwanza kapewa dozi ,tulia dozi ikuingie Mzee..

Mara nyingi nawaambia Mwanza sio Jiji kuna mrundikano wa washamba tuu.
 
Ni kweli kabisa vigezo vilivyotumika ni vya kisiasa zaidi. Mahali panaitwa jiji lakini ardhi katikati ya hilo jiji haijapimwa na makazi ni holela.

Miundombinu ya barabara, maji safi na taka na usafi wa mazingira ni hatarishi kabisa. Yaani hizi ni halmashauri tupu, hakuna jiji hapa.
Unauliza mipango Miji Tanzania? Kwa muktadha wako hakuna Mji hapa Tanzania ambao haujapimwa katikati ya Mji,haupo..

Miji ya Tanzania imepimwa katikati tuu ikiwemo baba la slums Dar.
 
Iwe na watu laki 5
Iwe na uwezo wa kujitegemea kimapato asilimia 95
iwe na makao makuu ya mkoa
Iwe na miundombinu ya kutosha
Na wakazi wake wasiwe wanaotegemea kilimo kama shughuli ya kiuchumi
Mwanza inazidi kukataliwa 😁😁😁😁
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa
Hakukanyaga chini? Na huyu aliyeenda kuonana na Mzee Ruksa ni nani?
1662663720364.jpg
 
Mwanza iendelee kubaki kuwa jiji, ila kwa Dodoma, Tanga na Mbeya naunga hoja mkono
Mwanza imeizidi nini Mbeya,Tanga au Dodoma?

Mwanza ya hovyo hiyo ambayo haina barabara Wala Vyuo?

Mji umejaa uswazi na slums tupu ndio unasema ni Jiji? Kuwa serious Mzee.
 
Na dar unasrmaje mkuu, mNA DSR NDO JIJI CHAFU na halijapangws kuliko majiji yote ukitaka kuona dsr ni kama kichska shuka kwa ndege
Kinachoibeba Dar ni tubarabara,majengo marefu,na vimitaa vichache vya wenye nazo..

Ila hapo Dar sasa ndio Makao makuu ya uswazi na uchafu kuanzia Posta hadi gongolamboto huko..

Tzn hapa Majiji nayoyakubali ni Arusha na Dom tuu..

Dom ina sifa zote za kuwa Jiji la kisasa kuanzia kupangwa hadi miundombinu Bora kabisa inayojengwa..
 
Wewe nae unatafutiza tu, sasa ukitoka Isanga vijiji vya milimani huko kuelekea chunya unavihesabia? Mbeya ni pazuri sana, mzunguko wa hela upo, system ya usafiri wa uma ni nzuri,

population kubwa kuna toto kali za kinyakusya black beauty halafu zina mizigo, mazao bei chee mahindi mengi na mchele wenye ubora na viazi vya kutosha, ndizi na maparachichi ni kama ya bure tu, hali ya hewa nzuri ya baridi safi kabisa.

Ukitaka kufaidi maisha kaishi Mbeya, huku Dsm mnateseka tu!

Au nasema uwongo Beesmom ?
Nakubaliana na wewe mkuu, mbumbumbu wengi wanaokuja Mbeya eti huwa wanatka wakute majengo yoote yamerundikana CBD ndio waseme Jiji 🤣🤣..

Pili utasikia ooh Mbeya haijapangwa,sasa waambie wakutajie wapi kumepangwa holaaa..

Na blaa blaa zingine za kutunga kama kusema hakuna mzunguko wa pesa wakati ni uongo,Mbeya imejaa vyuo hiyo na iko mpakani inawezaje kukosa mzunguko wa Hela?

Mwisho watakwambia hakuna barabara,at least hii Ina make sense ila nalo linakwenda kuondolewa by 2025 maana mwaka huu ujenzi wa barabara njia 4 km 32 zinaanza kujengwa..

Zamitaani zinajengwa Kila mwaka na Vumbi limepungua..
 
Pamoja na maisha yenu ya huko Dar kamwe siwezi ishi sehemu kama hiyo maana robo tatu ya watu wanaishi kwenye slums,Mji unanuka,watu ni wengi hatari na ufirauni wa kuzidi..

Mikoani hayo mambo ya hovyo hayapo.
Na ushamba wako utaiwezea wap dar ..ndo maana unaogopa [emoji12][emoji28][emoji28]
 
Umefeli ..umepost bila kuzingatia facts..umetoa maoni ya kichokozi .hasa umetarget kuwachokoza watu wa mwanza....
Tanzania Kuna majiji mawili tu Kwa kuzingatia Sheria ya maendeleo ya miji

Sheria namba Moja
Jiji linatakiwa kuwa na watu laki 5+
Mwaka 2012 sensa .ni dar na mwanza tu zilikuw na hii sifa .. hiyo miji mingine ilikuwa down
Washamba na mburula Ndio wanaweza sema Mwanza ni Jiji..

Narudia tena Tzn ina Majiji 3 tuu nayo ni Dar is Slum,Dodoma na Arusha..

Mengine ni majiji tazamiwa.
 
Back
Top Bottom