Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Cha kushangaza serikali yako ya CCM ndio inasimamia jiji la Dar

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ukija Dar jitahidi ufikie Masaki, Osterbay, Mbezi Beach , Mbweni, Upanga, mikocheni.

Acha kufikia Tandale, Mburahati, keko, Buguruni,

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huko ulikotaja wanaishi chini ya 20% ya watu wa Dar..

Hata Huko mvua ikinyesha ikazidi kidogo tuu kunageuka Bwawa, upuuzi wa hivyo hakuna Mikoani maana sehemu kubwa ya miji yetu iko Milimani hayo mafuriko yatatokea wapi?
 
Kama waona Arusha sio jiji,ksishi kijiini,hujalazimishwa uishi kwenye jiji.
 
NAUNGA MKONO HOJA.

Upo sahihi, hasa Mwanza.
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini Bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa.
Ni kweli.

Tatizo la Dsm kunanuka sana mavi. Kuchafuuu, ujenzi wa hovyooo...chemba kila kona

Feri ndio kabisaa kunanuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…