Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

Nimesoma chuo Dar miaka 3,nimefanya Kazi miaka 2 na kila mwezi wa 7 nakuja Kwa event ya wiki zima ,naanzaje kugongwa na gari huko kwenu Kwa kina midebwedo?

Siwezi ishi Jiji la hovyo hilo,linanuka kuanzia hapo bandari I hadi kawe beach..

Inyeshe mvua tabu,liwe jua tabu ..Horrible life hiyo huwezi ikuta mikoani na in fact haipo Mbeya Wala Njombe.
Cha kushangaza serikali yako ya CCM ndio inasimamia jiji la Dar

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ukija Dar jitahidi ufikie Masaki, Osterbay, Mbezi Beach , Mbweni, Upanga, mikocheni.

Acha kufikia Tandale, Mburahati, keko, Buguruni,

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Huko ulikotaja wanaishi chini ya 20% ya watu wa Dar..

Hata Huko mvua ikinyesha ikazidi kidogo tuu kunageuka Bwawa, upuuzi wa hivyo hakuna Mikoani maana sehemu kubwa ya miji yetu iko Milimani hayo mafuriko yatatokea wapi?
 
Maana yake ni kwamba kama miundombinu haijakamilika na hakuna zile huduma bora basi hayo maeneo hayana hadhi ya kuwa majiji.

Arusha haitajengwa airport kubwa kwa sasa kwasababu tayari ipo pale karibu na KIA. Stendi inaweza kujengwa wakati wowote.

Hata hivyo arusha nayo ina maeneo mengi sio mazuri na hayajapangika lakini kwenye kuangalia mandhari arusha iko mbali sana kufananisha na hiyo mikoa mingine.
Kama waona Arusha sio jiji,ksishi kijiini,hujalazimishwa uishi kwenye jiji.
 
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.

Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.

Nyumba zimesambaa kama takataka na miundombinu ni hatarishi katika maeneo haya. Hali ya maisha sio nzuri.
NAUNGA MKONO HOJA.

Upo sahihi, hasa Mwanza.
 
Siku narudi bongo ndio nilijua why M Jackson miguu yote hakukanyaga chini Bongo mmoja ulikatalia kwa ndege akarudi USA akaakataa huku sio kabisa.
Ni kweli.

Tatizo la Dsm kunanuka sana mavi. Kuchafuuu, ujenzi wa hovyooo...chemba kila kona

Feri ndio kabisaa kunanuka sana.
 
Back
Top Bottom