lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Cha kushangaza serikali yako ya CCM ndio inasimamia jiji la DarNimesoma chuo Dar miaka 3,nimefanya Kazi miaka 2 na kila mwezi wa 7 nakuja Kwa event ya wiki zima ,naanzaje kugongwa na gari huko kwenu Kwa kina midebwedo?
Siwezi ishi Jiji la hovyo hilo,linanuka kuanzia hapo bandari I hadi kawe beach..
Inyeshe mvua tabu,liwe jua tabu ..Horrible life hiyo huwezi ikuta mikoani na in fact haipo Mbeya Wala Njombe.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app