Kingereza kimekushinda
 
Sasa huoni Kama kazidisha level ya aibu?ilikuwa ya kimkoa Sasa umekuwa ya kimataifa?
Sio mwanaume shupavu nakwambia.
 
Umenikumbusha nilivyo pangua kesi ngumu sana hapa ndani miaka ileeee....🤣, haya chagua wapi ujengewe medani ya heshima...😊
 
Huyo Dugange ni mbunge wa jimbo gani?

Najua kutakuwa na uchaguzi mdogo katika hilo jimbo ili kucover nafasi iliyo wazi baada ya mh kurudishwa mavumbini.
 
Sasa huoni Kama kazidisha level ya aibu?ilikuwa ya kimkoa Sasa umekuwa ya kimataifa?
Sio mwanaume shupavu nakwambia.
Kufa au ajali ni matokeo. Hakuwa anakimbia ili afe au apate ajali.
Ujinga ninaoona kaufanya ni kutumia kodi zetu kubeba michepuko. Ila hilo la kustarehesha mwili wake ni suala lake na Mungu wake maana hatujui anayopitia kwenye ndoa yake au huenda ni malaya tu, ni suala binafsi. Kuhusu kukimbia huenda ni reaction iliyotokea labda mke alikuja na waandishi na ndo hawa wanaosema alikuwa anakimbia fumanizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…