Hebu fikiria ndio Aina ya waume tulionao hawa!yaani kaleta aibu sanaWanaume wengi viatu haviwatoshi
Mwanaume lazima awe imara katika hali zote
Sasa mwanaume anafanya majanga halafu anakimbia si aibu hiyo
Udhaifu wake huwezi kuujudge kwenye hilo tukio maana hujaona alichokuwa anakimbia, umeasume tu kuwa alikuwa anamkimbia mkewe ila huenda aliwaza mengi kama ajira yake, aibu, hatujui huenda huyo aliyekuwa nae ni mke wa mtu. Scenario ipo too open kusema hakuwa sahihi kuamua kukimbia. Ukumbuke asingepata ajali halafu akakuhadithia ungemwambia ungebaki hapo ingekula kwako.Mimi siongelei gari,
Mimi naongelea udhaifu wake kwenye ku handle matatizo Kama mwanaume...Sasa kumdeal na wife tu kafail je kudeal na wizara anaweza kweli.
Okey ,SU ndio za mashirika Kama tenesco?Upo sahihi...
Na mimi ndiyo nakujulisha kuwa...Si kila gari ya Serikali ina Bima...
STK,STL,STM nyingi hazina Bima...
Zenye Bima na lazima kukatia..Ni SU.
Hapa hakuna kufafanua chochoteMsemaji wa Serikali kupiga kimya!!!!!!!
Aaaaah aaah sijasema mkeo anatakiwa kujua,mkeo hatakiwi kujua,Ila ikitokea anajifanya FBI na katokea kwenye eneo la tukio yaani inatakiwa kukaza kiume,unaweza hata kumwambia kwa Nini anakuafuata kwenye vikao vya kibiashar😂😂😂mnakwama sana wanaume wa sasaBora useme wewe. Yaani mwanaume nina hela alafu niogope mke wangu kujua kuwa nina mcheps...ufaller huo.
Ukiwa na hela mkeo anatakiwa kujua without a shadow of a doubt kuwa una mcheps pisi kali. Always remember a woman has more options than u.
nakwambia hivyo maana nilisha ponea kwenye tundu la sindano,ni kama nilipigwa ganzi mwili mzima yani nilikumbuka vikao vya familia, watoto, marafiki na jamii kwa ujumla nafikiri tubaki njia kuu tuhYule ni waziri ana cheo ilibidi ajisimamie amwambie nina kikao kuna watu nawasubiri kukutana hapa hotelini.
Anamwambia wifeningia kwenye gari chapu anamtext rafikia yake amoigie simu akimuihitaji haraka. Hapo ndo atampeleka wife home na kurudisha gari la serikari ofisin........simpo laiki zati.
Itoshe kusema baadhi ya wanaume wanapitia maisha magumu. Hapo ikite wife wake hampi mwezi wa pili sasa, waziri kaamia isiwe shida ndo yanamkuta haya.
Atajua mwenyewe!to me ninamuona coward na sipendi mwanaume wa type yakeUdhaifu wake huwezi kuujudge kwenye hilo tukio maana hujaona alichokuwa anakimbia, umeasume tu kuwa alikuwa anamkimbia mkewe ila huenda aliwaza mengi kama ajira yake, aibu, hatujui huenda huyo aliyekuwa nae ni mke wa mtu. Scenario ipo too open kusema hakuwa sahihi kuamua kukimbia. Ukumbuke asingepata ajali halafu akakuhadithia ungemwambia ungebaki hapo ingekula kwako.
Hebu fikiria ndio Aina ya waume tulionao hawa!yaani kaleta aibu sana
Uzinzi ni tabia chafu ila Wanawake mnashangaza sana. TOO SELFISH.. Mbona hujamjudge mwanamke mwezio kutaka kuharibu reputation ya baba watoto wake kwa kuandaa fumanizi?Wanaume wengi viatu haviwatoshi
Mwanaume lazima awe imara katika hali zote
Sasa mwanaume anafanya majanga halafu anakimbia si aibu hiyo
Ndiyo..Okey ,SU ndio za mashirika Kama tenesco?
Kula tu mbususu ila uwe makini sana [emoji28][emoji28] siunaona huyo waziri ka trend Kwa mambo machafu ya zinaa badala ya ku trend Kwa kufanya kaziDuh! Sii mchezo.....kweli wanawake mnaroho mbaya sana. Sasa kidume kula mbususu nyingine ni kitu ya kukuumiza kichwa kweli? Muwache hizi fairytales bwana
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa umetulia kichwa cha chini hakikuendeshi?nakwambia hivyo maana nilisha ponea kwenye tundu la sindano,ni kama nilipigwa ganzi mwili mzima yani nilikumbuka vikao vya familia, watoto, marafiki na jamii kwa ujumla nafikiri tubaki njia kuu tuh
Wewe ukifanya kosa la uchafu wa kuzini halafu ukamuona mumeo anakuja na majirani na wakwe na una nafasi ya kutoroka hutatoroka?Atajua mwenyewe!to me ninamuona coward na sipendi mwanaume wa type yake
Hiyo ni Ajali Kama ajali nyingine kwa kua ni uncertain situation ,ingekua amelewa labda sawa,ajaiporomosha gari kusudiHivi Bima wanafidia magari yaliyopata ajali kwa uzembe?!