Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Hebu fikiria ndio Aina ya waume tulionao hawa!yaani kaleta aibu sanaWanaume wengi viatu haviwatoshi
Mwanaume lazima awe imara katika hali zote
Sasa mwanaume anafanya majanga halafu anakimbia si aibu hiyo