Lakini kwa kosa alilofanya kama kweli kinachoelezwa humu hatakiwi kuendelea na hicho cheo. Amekichafua
Amefanya kosa gani?
Hajachukua mke wa MTU, kachukua Malaya.
Gari alilotumia Ni lake.
Mke aliye m cheat Ni wake.
Pesa aliyomhonga Malaya Ni yake.
Ukimwi aliovuna toka kwa Malaya Ni wake (walevi hawatumii kondom na waziri alikua amelewa)
Maumivu anayo ugulia Ni yake.
 
Mtu kama hujui kitu ni heri ukakaa kimya utaratibu wa magari ya serikali katika uendeshaji ni jikumu la dereva na hakuna kiongozi yoyote anamamlaka ya kuendesha gari linalomhudumia utaratibu wa kuendehsa magari ya serikali unapangwa afisa utumishi mkuu na afisa usafirishaji(To)swali la kujiuliza ni dereva yupi atakubali.

Kumuachia boss wake gari maana litakalo tokea ni msiba kwa dereva,kifupi hilo jambo halipo.

Turudi kwenye hii issue ya mhe Ikiwa ni njia ya kumchafua bora ifahamike hivyo lakini msiichoshe serikali kwa mambo ya kizushi.hiyo gari ni ya binfsi wala sio ya serikali.
 
Kwani alikuwa kwa shoga,sisi hatukatai watubkupiga mbususu shida ni kukamata wanaume mwenzako

USSR
 
Habari hii ina zaidi ya saa 24 toka itolewe hapa JF na sijaona mahali popote serikali imetoa tamko.
Jee ni kweli au ni zile habari za uzushi hapa JF?
Kama ni uzushi inakuwaje moderators wanaacha uzushi unatamba namna hii?
Au kama ni kweli na serikali inakaa kimya Naibu waziri kupata ajali inaweza kuaminika kweli hii? Au ndio yale yasemwayo kuwa serikalini wamejaa wahuni tuu?
 
Kwani alikuwa kwa shoga,sisi hatukatai watubkupiga mbususu shida ni kukamata wanaume mwenzako

USSR
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna leo umenijibu kwa staha na sijakuzoea hivi, uwiiiiii.

Sasa alikua anakimbia nn km kuchakata mbususu sio shida, si angebaki hapo hapo km ilikua sio tatizo, hadi kupinduka na kuishia kuua mwenzake na yeye kuwa majeruhi.

Nasema na badooo wataumbuka wengine zaidi yakee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

DJ waleteeeeee,
 
Tumia na katiba mpya mbususu zitabadilika ladha yaani kupungua kale kaugwadu wakati Wajerumani wanaenda Afrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…