Namwombea afya njema legend mwenzetu.Nilishawahi kusubiri porini mpaka jogoo anawika nikisubiri demu.Ila siku nyingine ...
 
Mkuu kwa nchi yetu hii utashangaa kuona Bado jamaa yupo wizarani pamoja na madudu aliofanya
Na kama gari ni ya serikali inabidi wahanga wa ajali walipwe na Bima ya serikali pia hivyo anazidi kulitia hasara Taifa.

Hapo Kuna fidia Kwa Marehemu na pia Gari mpya. Zote ni fedha za umma.

Hapo anatakiwa ashitakiwe mahakamani ili atiwe hatiani kwa kuendesha gari Kwa uzembe na kusababisha kifo na ikibainika kuwa alikua Mwendo Kasi eneo lenye tuta ambalo speed yake haitakiwi kuzidi 50 KPH basi ashitakiwe Kwa kuendesha gari Kwa njia ya hatari na kusababisha kifo .
Hapo ana makosa matatu ya kujibu mahakamani.
Akitiwa hatiani anapaswa kufutiwa leseni na kufungwa gerezani au kulipa faini. au vyote Kwa pamoja.

Kesi ikiisha apambane na kesi za madai kutoka Kwa wahanga.
Kesi ya Warithi wa Marehemu dhidi ya Naibu Waziri pamoja na Kampuni ya Bima husika / serikali .
Familia inadai fidia ya sh. Bil . Moja kutokana na ukweli kwamba Marehemu alikua ni mke wa mtu na mama na mlezi wa watoto wanne . Lakini pia Marehemu alikua ni Msaada mkubwa wa wazazi wake ambao walimsonesha Kwa gharama kubwa sana .
Pia kitendo Cha uzembe wa Dereva ambaye pia ni Waziri kimewaacha watoto wakiwa yatima na kukosa Msaada mkubwa sana wa mama. Kitendo Cha uzembe wa Dereva huyo kimemsababishia mume wa Marehemu na familia yake matatizo makubwa sana ya kisaikolojia hivyo familia itahitaji matibabu na tiba ya kisaikolojia jambo ambalo litakua ni gharama kubwa sana na Kwa muda mrefu hivyo mahakama inaombwa itoe haki Kwa kumlazimisha Mh.kulipa fidia .
 
Umelenga swali zuri sana.

Nadhani waandishi wetu wa habari kama ni kweli halafu wakakaa kimya basi nao ni sehemu ya ole maana wamekua ni wanafiki na machawa wa kuhujumu nchi Kwa maslahi yao. Wanapenda kuandika habari za uswahilini na kuacha habari zinazogusa maslahi ya nchi.

Waziri ni mtu mkubwa na aliyefariki Kwa tukio la ajali iliyosababishwa na Dereva mzembe ambaye pia ni Naibu Waziri Tena usiku wa manene ana haki ya kutolewa Taarifa kama zinavyotolewa Taarifa ajali za madereva wengine bila kuja cheo.
Ajali ni ajali hata kama Haikua inahusiana na uzinzi wa Naibu Waziri lakini ni ajali na inatolewa Taarifa.

Lakini mpaka kufikia 2025 hii inchi itapitia majanga Mengi sana yanayotokana naatendo maovu yanayofanywa na watawala Kwa makusudi wakitegemea kuwa hakuna mtu wa kuwafanya chochote a. Mungu ndiye Hakimu mkuu na anayelipa kisasi Cha haki . Akiyepewa dhamana ya kuwatisha Wahalifu ameshindwa basi Mungu atasimama Mwenyewe na kuisabaratisha mifumo ya waovu kwenye Taifa hili liliolokua la mfano wa watu wakarimu na wapenda Haki.
 
Kumbe gari alitumia la kwake?
 
 
WAZIRI DR MOLLEL HAKIKA ALIKUWA SAHIHI KUSEMA VIONGOZI WENGI KATIKA SERIKALI YA SSH NI WAJINGA SANA YAANI IMESHINDWA KUTUMIA CAB KWENDA KUFANYA UJINGA WAKE? NA WANAJUA KUTETEANA /KULINDANA , ZAIDI ZAIDI PM NDIYO ANAWAKINGIA KIFUA!!!!!! YAANI CCM IMEOZA NA KUNUKA !!!!
 
Habari ni kweli na waziri aliumia vibaya alipelekwa mahutiuti kalazwa Benjamin mkapa hospital dodoma, kimya Cha serikali nadhani ni aibu tu
 
Huyo Ndugage kapata ubunge na huo unaibu Waziri awamu hii au ndio chuki zimekujaa mpaka mkndoni. Kama vp chomoa ujamb km inakuumiza sana
Alipata awamu ya mwendazake
Wewe ni mpumbavu, ustaarabu wa mwanamke anaujuwa mume wake tu, huwajui wanawake jinga wewe.
Jinga mwenyewe tena stupid idiot. Na sikazi wa kwako analiwa na cha kumfanya huna ndiyo maana una makasirikio.
 
Mwananchi limeripoti baada ya kuwahoji baadhi ya viongozi ambao wamejibu kuwa wanasubiri apate nafuu ili aeleze kilichotokea hasa ni nini.

Kumbukeni Kuna Kanuni za haki ya asili (Principles of natural justice).
 
Ni burdani sana watu tunajadili hearsay wala hatuna taarifa za kueleweka ni kubabatiza tu kama mpira wa kona! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi unaniiudhi kuwa lesbian wakati mtoto mrembo tu

USSR
 
Mimi unaniiudhi kuwa lesbian wakati mtoto mrembo tu

USSR
Hebu sema kweliii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi sasa Una ndugu yako wa kiumee, anitoe huku nije huko kwa nature??
 
Hebu sema kweliii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi sasa Una ndugu yako wa kiumee, anitoe huku nije huko kwa nature??
Uhamie huku kwenye asili ya ubinadamu na utubu dhambi zako na kuziacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

USSR
 
Uhamie huku kwenye asili ya ubinadamu na utubu dhambi zako na kuziacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

USSR
Sasa ndo ufanye kunipa huyo ndugu yako wa kiume, tuwe huko kwenye asili ya ubinadamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwananchi limeripoti baada ya kuwahoji baadhi ya viongozi ambao wamejibu kuwa wanasubiri apate nafuu ili aeleze kilichotokea hasa ni nini.

Kumbukeni Kuna Kanuni za haki ya asili (Principles of natural justice).
Unaweza kushare nasi report hiyo ya Kazeti la Mwananchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…