Hata kama sio mke wa Mtu, rejea mambo ya Trump,
 
Sasa ndo ufanye kunipa huyo ndugu yako wa kiume, tuwe huko kwenye asili ya ubinadamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaacha hizo mambo za kusuguliwa na wanawake wenzako

USSR
 
Habari ni kweli na waziri aliumia vibaya alipelekwa mahutiuti kalazwa Benjamin mkapa hospital dodoma, kimya Cha serikali nadhani ni aibu tu
CCM will fall under its own weight.
CCM kwa Sasa Ni Kama MTU mlafi, mnene kupindukia lakini yeye Ni kula kula kila wakati. Muda si mrefu huyu MTU atakufa kwa shinikizo la damu au moyo utashindwa kusukuma damu.
Angalia wanavyoiba (maneno ya CAG waliomteua wenyewe) na Sasa ufuska wa nje nje.
 
Sasa ndo ufanye kunipa huyo ndugu yako wa kiume, tuwe huko kwenye asili ya ubinadamu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Would you please spread your legswide for me or bend over and spread yourass wide for me? Please🙏🏿?
 
Kwangu mimi nailaumu imani yake, ndiyo inayomfunga na Imani yake,Waisilamu wameruhusiwa kuowa zaidi ya mke mmoja, lakini wakristo wamekatazwa na wazungu, ila wanamichepuko
Mbona kuna hao wa wake wanne bado wana michepuko kiongozi. Haya mambo hakuna cha imani wala nini ni tabia ya mtu.
 
Ccm umalaya ni sifa kuu Yani umalaya ni ritual ya chama, Sasa umalaya huo ndio unafika Hadi kwenye maofisi ya umma plus wizi. In short nchi hii imefeli kwenye maadili, maadili yangekuwa mema hata wizi usingekuwepo
 
Vp kama angeoata gonjwa la ngono si angetibiwa kwa gharama za serikali?
 
Naibu Waziri mzima hana uzoefu kabisa na masuala ya wanawake, what a hopeless guy..!! Hata kazi zake zinatia mashaka, hana uwezo kabisa huyu.
 
Ccm umalaya ni sifa kuu Yani umalaya ni ritual ya chama, Sasa umalaya huo ndio unafika Hadi kwenye maofisi ya umma plus wizi. In short nchi hii imefeli kwenye maadili, maadili yangekuwa mema hata wizi usingekuwepo
Halafu hawana kazi za kufanya, kama una kazi hauwezi kufikiria ngono namna hiyo na ndio maana yananenepa hovyo.
 
Huko UK, miaka ya zamani kidogo, Waziri mdogo, alikutwa na kashfa ya uzinzi, yaani kutembea na hawara zake, UK PM wa wakati huo, alimteua mtu mwingine right away, hata hajamjulisha na kazi yake ikawa ndio basi, Waziri mdogo akawa kajifukuzisha kazi kwa aibu kubwa.

Waziri mzima unakosa maadili au unashindwa kuficha siri zako tena nyeti kabisa, sasa siri za serikali si ndio hata hawezi kuficha hata kidogo, mimi ningekuwa Mh. Rais nachagua tu mtu mwingine paaap, ndio imeisha hiyo.
 
Halafu hawana kazi za kufanya, kama una kazi hauwezi kufikiria ngono namna hiyo na ndio maana yananenepa hovyo.
Kwa unene hata huyu muheshimikwa atakua alipiga kimoja Chap Cha dakika mbili halafu kahonga laki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…