Baada ya kukusoma kwa maneno haya uliyoandika hapo juu, sikutaka kuondoka. Ilinichukua muda nikijizuia nisiku'quote'; lakini nikashindwa kujizuia.
Likaja swala niandike nini kuhusu ujinga/uchafu huu uliouacha hapa.

Nikaona nijibu vyovyote itakavyonipendeza mwenyewe, ili mradi ujue kwamba umeweka uchafu hapa.

Wewe hupenda sana kuambiwa uongo au siyo; kama ilivyo tabia yako ya kusema mambo hovyo hovyo tu kama ulivyoonyesha hapa?

Wananchi wa Tanzania usiwadharau sana kwa kudhani kwamba ni sawa tu kwa serikali yao kuwaficha ukweli wa jambo lolote
Unajiita 'TimeOut', itabidi nikukumbuke kila mara nitakapokutana na takataka zako humu JF, kama mawazo yako ndiyo haya uliyowasilisha hapa.
 
Hata taarifa ya chuo cha UDOM iliyopo mtandaoni kuhusu kifo cha mwanafunzi wao ni ya kitoto mno isiyo na weledi wa hadhi ya chuo kikuu. Eti mwanafunzi amekufa Moshi akipigana na mpenzi wake!!! Pumbavu. Ndivyo tunavyotoa taarifa za vifo vyuoni? Uandishi gani huu wa kijinga tena wenye maelezo mengi yasihitajika!!! Hiki kweli ni chuo kikuu? Au kuna kitu gani kinafichwa?
 
expand...
Hivi kwa tukio lile Chenge alijiuzulu?
Je, huyu ikibainika atajiuzulu?
Tunawalaumu wazungu lakini tungeiga walahu baadhi ya mambo hasa haya ya accountability of office bearers tungefika mbali sana!
Lakini sisi sasa, tunaogopa mengine huku maadili ya viongozi yakiporomoka. Na ubadhirifu unatamalaki!
Bahati mbaya viongozi nao washagundua akili zetu. Wanatuimbisha huku wao wakifanya tofauti kwa Siri!


NB: Nimeisoma taarifa ya UDOM! Kwa ile taarifa ilivyo; kuna mengi mazito yamefichwa juu ya kifo cha Nusura!
 

Ndio reflection ya hao wanaokisemea chuo, ambao tunatarajia kesho watutolee wasomi wa Kujenga nchi.
 
Polisi hawana weledi wa kazi kabisa huko chuoni sijui huwa wanafundishwa nini yaani wako shalow sana kuanzia kwa Wakubwa zao mpaka Hawa wa chini.
 
Mkuu Jidu nipe tano. Sasa kamanda misime na wenzako mmeshapata nadharia tete za kukuongozeni kwenye uchunguzi wenu . Kila kinachochunguzwa kijibu maswali hayo. Kumbukeni mama anawaona.
Mheshimiwa Sagini Na Masauni Ittaqillah hauthu makunta.
Hivi ni vile vyuo vikuu vya kata vilivyoanzishwa kwa wingi pamoja na shule za kata bila kuwa na misingi na weledi wa ki university university. UDSM na MZUMBE hawawezi fanya hayo!
 
Bado tunaishi in the Jungle era.
Era ambazo viongozi ni untouchable, chochote kitafanyika ikibidi kuvunja sheria, kuvunja maadili, kuvunja uaminifu, oindua nchi juu chini, geuza wananchi kuwa waoumbavu ili mradi tu viongozi walindwe na kubaki salama, huku rais wa nchi na wasaidizi wake wengine wakiangalia tu.
 
Kwenye hili hatuwezi kumuweka pembeni Rais Samia. Kama amirijeshi mkuu tunaamini anajua ukweli wa kila kitu kuhusu jambo hili maana ndio raia #1 mwenye vyombo vyote vya kupata ripoti kamili, tena inayo husu waziri wake!
Hachukui hatua dhidi ya uongo huu basi anakuwa anashiriki kuwa mmoja wao.
Anakubalije kuingizwa kundi hilo chafu?
Muwajibishe muhusika tuu, unakuwa umejitoa humo
 
Ajali ile inajulikana mtaani imesababisha kifo cha mwanafunzi wa UDOM. Kwa hiyo kuna cover up ambayo imawashirikisha Polisi? Habari hizi nakosa muda wa kuzifuatila,kwa hiyo I don't what is what.
Lakini ajali inatokea,watu wengi wanaisogelea. You can't tell lies.
 
Duh

Ova
 
UDOM wamejishushia credibility yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…