Baada ya kukusoma kwa maneno haya uliyoandika hapo juu, sikutaka kuondoka. Ilinichukua muda nikijizuia nisiku'quote'; lakini nikashindwa kujizuia.Duh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
Na tukisha yajua hayo yanatusaidia nini kimsingi tukiwa kama wananchiView attachment 2612299
Likaja swala niandike nini kuhusu ujinga/uchafu huu uliouacha hapa.
Nikaona nijibu vyovyote itakavyonipendeza mwenyewe, ili mradi ujue kwamba umeweka uchafu hapa.
Wewe hupenda sana kuambiwa uongo au siyo; kama ilivyo tabia yako ya kusema mambo hovyo hovyo tu kama ulivyoonyesha hapa?
Wananchi wa Tanzania usiwadharau sana kwa kudhani kwamba ni sawa tu kwa serikali yao kuwaficha ukweli wa jambo lolote
Unajiita 'TimeOut', itabidi nikukumbuke kila mara nitakapokutana na takataka zako humu JF, kama mawazo yako ndiyo haya uliyowasilisha hapa.