Mke anaweza save issue ila maclassmate wale close au maroomate.
 
Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
Hawa ndugu itakuwa wamepigwa mkwara wa kupewa kesi ya uhujumu uchumi (haina dhamana hii) endapo watajitokeza kupiga kelele
 
Duh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
ATTACH=full]2612299[/ATTACH]
hata mimi najiuliza, maana ajali ni kawaida, mwanafunzi wa chuo ni mkubwa (anafaa kuwa chakula), kabda kwenye kashfa ya fumanizi au kama kuna kingine zaidi ya hilo

ila kama tunakomaa sana kwa ajili ya fumanizi tu basi wabongo hatujitambui na tunapenda sana umbea
 
Kwaio kelele zote hizi Kumbe kinachotakiwa apigwe chini tu... Watanzania tuache roho mbaya na chuki dhidi ya viongozi.hata akipigwa chini nafasi iyo Huwezi kupewa Wewe
Tunataka uwajibikaji na transparency mkuu hakuna aliyesema anataka hicho cheo acha kutetea ujinga
 
Mkuu hili la Mwiba sijalisikia kashifa yake, waweza weka nyama kidogo?
HeeeeHEeee!

Huko kutolisikia kwako hiyo pekee ni kashfa mkuu 'Sakasaka Mao'. Mambo haya yanapofanyika yanatakiwa yawe wazi wananchi wayajue.

Kama vipande vya nchi vinakatwa na kuuzwa bila ya wananchi kutojua chochote, wala hata Bunge kutoelezwa chochote, huoni kwamba hili ni jambo la ajabu sana kufanywa na serikali, iliyowekwa kuwatumikia wananchi na kulinda mali zao!

Leo hii mapande ya ardhi yanakatwa na kuuzwa kwa wageni, na wakati mwingine hata wanachi wakihamishwa kwenye maeneo hayo kuwapisha wageni; muda si muda, tutakapobanana tuanze kukatana mapanga sisi kwa sisi kwa kukosa ardhi?

Hiyo "Mwiba" ni eneo alilouziwa Billionea wa Kimarekani 2009. Imebaki siri isiyojulikana kwa muda wote huo. Sasa ndio tunaambiwa huyo mtu na yeye sasa anakata vipande eneo lake ili apate wawekezaji, avune alipowekeza yeye.

Na mbaya zaidi, aina hizi za uwekezaji zinazofanywa siri na viongozi wetu, hata matokeo ya uwekezaji huo hatuyajui. Ni nani hufaidika na uwekezaji wa namna hii? Kuna ripoti zozote za serikali zinazoonyesha unufaika wa wananchi kutokana na uwekezaji huu. Ni pesa kiasi gani huzalishwa kila mwaka, na matumizi ya pesa hizo huishia wapi?

Yote haya yanakuwa ni siri kwa wananchi?
 
Uchambuzi uchwara
 
Investigative journalism inapaswa kufanywa kuutambua ukweli
Hii story hawataiweza, waambie waandike article ya Magufuli na Chato yake hapo ndo penyewe.

Na kuhusu Polisi wa Tanzania, hao ni Polisi wa CCM wasiokuwa na kadi za uanachama. Wanatumika isivyo kabisa, natamani Polisi wote wafutwe kazi tubaki na makampuni ya ulinzi pekee.
 

Watanzania Sisi umbeya na kujazia jazia vichwa vya habari ndo ubunifu tuliobaki nao. Mbaya zaidi kupenda wengine yawakute mabaya.

Wewe mkuu umeandika habari ndefu, Sijui Ukiwa chumbani au ofisini kuhusu mawazo bila ushahidi wowote. Mbaya zaidi hata Basi kusema Nina ndugu UDOM amenipa za kwenye kapeti kuwa binti mbona Ana best yake namjua kasema mkuu alikuwa anapumzika. Hivi hii Tz na magroup ya umbeya , issue kama Hii asitoke mwanafunzi na kusema neno. Hawa watanzania?

Nimepitia comments Karibia zote , Hakuna hata mmoja aliyeleta data za chuoni. Lakini haraka kumuhukumu huyo Mheshimiwa.

LAKINI PIA. Je Shida kufumaniwa au possibility ya kuua mtu.
 
Kulikuwa na camera eneo hilo au polisi nao wamekuwa wanajimu?
 
Ulieleta Mada kwani kama alikua na mwanamke kuna ubaya gani???? Na sioni pahala polisi wanasema alikua na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…