Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mkewe now yupo kwa wakati mgumu sana kwa familia ya mume lazima ianze mchukia na kumwambia ampe talaka mke huyo hana akili
Ni kweli watasema akiendelea kuishi nae atakuja kuumua !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkewe now yupo kwa wakati mgumu sana kwa familia ya mume lazima ianze mchukia na kumwambia ampe talaka mke huyo hana akili
Wewe humuohopi mkeo?Pamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
Mke anaweza save issue ila maclassmate wale close au maroomate.4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
What if huo mwili ni wa mtu aliyekuwa akitembea kando kando ya bara bara?
hapa yabidi mke wa Naibu waziri ahojiwe,
Marafiki wa mwanafunzi nao wana umbea kidogo
Huku kote twazunguka zunguka tuu .... master mind ndo mwenye jibu kamili
Hawa ndugu itakuwa wamepigwa mkwara wa kupewa kesi ya uhujumu uchumi (haina dhamana hii) endapo watajitokeza kupiga keleleNdugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
Jina la mpenzi wake ni DugangeJina la mpenzi wake halijulikani.
Mimi huwa naandika issues zenye maslahi kwa taifa only!. Hii issues ya huyu binti ni trivial issue inayohusu the right to privacy ya marehemu.Ingia mzigoni basi
Utuletee taarifa kamili
Au mambo ya investigation journalism
Siyo zako
Ova
Mke wa mtu sumu mkuuPamoja na hayo lakini.... Najiuliza.... hivi inakuwaje mwanaume anamuogopa mke kiasi hicho hadi kumkimbia na kupata ajali?
hata mimi najiuliza, maana ajali ni kawaida, mwanafunzi wa chuo ni mkubwa (anafaa kuwa chakula), kabda kwenye kashfa ya fumanizi au kama kuna kingine zaidi ya hiloDuh! Ila kwenye hili ishu ni nini haswa! Mtu kufa kwenye ajali!!? Fumanizi!!? Kumjua aliekufa kwenye ajali!!? Kupotea/kifo cha mwanafunzi wa chuo!!? Au ni nini
ATTACH=full]2612299[/ATTACH]
Tunataka uwajibikaji na transparency mkuu hakuna aliyesema anataka hicho cheo acha kutetea ujingaKwaio kelele zote hizi Kumbe kinachotakiwa apigwe chini tu... Watanzania tuache roho mbaya na chuki dhidi ya viongozi.hata akipigwa chini nafasi iyo Huwezi kupewa Wewe
HeeeeHEeee!Mkuu hili la Mwiba sijalisikia kashifa yake, waweza weka nyama kidogo?
Taarifa zinasema binti alifia palepaleUsishangae binti wa watu hakufa ila alimaliziwa kwa hofu kuwa akipona atamwaga siri, hivi rafiki zake na huyo binti hawajui za chini ya zuria!
Uchambuzi uchwara4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
What if huo mwili ni wa mtu aliyekuwa akitembea kando kando ya bara bara?
hapa yabidi mke wa Naibu waziri ahojiwe,
Marafiki wa mwanafunzi nao wana umbea kidogo
Huku kote twazunguka zunguka tuu .... master mind ndo mwenye jibu kamili
KATAA NDOAHata mke wa Dugange akiwa kitengo, hili sakata, kifamilia na hata kijamii limekula kwake.
Ukiwa na mke kana huyo umeoa ugonjwa wa moyo, pressure na kisukari kwa pamoja.
Hii story hawataiweza, waambie waandike article ya Magufuli na Chato yake hapo ndo penyewe.Investigative journalism inapaswa kufanywa kuutambua ukweli
Serikali msijaribu kulificha suala la ajali ya Waziri Dugange, maana kama ilivyo KARMA itaondoka na vichwa vya watu.
Mwanzo kabisa zilitokea tetesi:
1. Naibu waziri apata ajali akiwa na gari la serikali akikimbizwa kufumaniwa na mke. Mpenziwe afariki kutokana na ajali hiyo.
2. Tetesi hizo zilikanushwa na Polisi, na kukanusha kuwa hakuna aliyefariki ajali hiyo
3.Makamu wa Rais alimtembelea Naibu Waziri hospitali.
4.Mpenzi wa Naibu Waziri bado hakujulikana, bodoboda waliofika eneo la ajali waliona maiti ya mwanamke.
5.Tunapata habari mwanafunzi Nusra Hassan ati kafia Moshi kilimanjaro kwa kipigo cha mpenzi wake.
Jina la mpenzi wake halijulikani.
6. Hospitali huko Himo Moshi, inakanusha kumpokea Nusra hospitalini hapo.
7. Taarifa mkanganyiko za kifo cha Nusrat Hassan toka chuoni kwake UDOM, zinakubali kutokea kifo lakini hazielezi mazingira wala sababu za kifo, wala kama wameripoti polisi.
8. Polisi kama kawaida inafuatilia tu taarifa za mitandao, haikiri kama kuna RB imefunguliwa na mtu yeyote.
9. Ndugu wa Marehemu Nusra isivyo kawaida hawajajitokeza hadharani kudai taarifa sahihi za kifo cha ndugu yao.
KUTOKANA na mlolongo huo ni dhahiri sasa mtu mwenye akili atagundua kuwa mwanamke aliyekuwa na Dugange si ajabu ni huyo Nusra, hatuna uhakika huo, lakini mazingira ya tukio yana shabihiana.
Hivyo basi, POLISI na Dugange , mumwogope Mungu.
Kubalini na muwe wakweli kwa yaliyotokea ili ukweli ukidhihirika wananchi watakuwa wepesi kusamehe.
Lakini mkipandikiza uongo juu ya uongo mbingu na nchi hazitawasamehe.
Mbaya zaidi mnamharibia Mama Samia, hatutaki kurudi kule tulikotoka, kuficha ukweli.
Anabakwaje Sasa jamañiView attachment 2613965![]()
Join Festo Dugange Amembaka na Kumuua Binti Nusura H. Abdallah
You were invited to join this live roomwww.clubhouse.com
Kulikuwa na camera eneo hilo au polisi nao wamekuwa wanajimu?View attachment 2604901
JESHI la Polisi nchini limesema ajali iliyotokea Aprili 26, 2023 ikimuhusisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dk Festo Dugange ilisababishwa na Bodaboda aliyekuwa akivuka barabara ghafla bila kuchukua tahadhari.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Martin Otieno imesema gari hilo lenye usajili wa T 454DWV aina ya Toyota Land Cruiser likiendeshwa na Naibu Waziri Dugange lilipoteza mwelekeo na kugonga kigo ya barabara ya Iyumbu maeneo ya St Peter Clever na kupinduka.
“Kulikuwa na mtu moja tu (dereva) kwenye gari hilo ambaye ni Naibu Waziri. Alivunjika kidole gumba cha mkono wa kulia na kupata majeraha katika mkono huo,” amesema Kamanda Martin.
Makamu wa Rais Dk Philip Mpango amemjulia hali Dk Ndugage ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Doodma.
Pia, soma: Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari