pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Anatakiwa akasomewe mashtaka palepale hosptalini bila kujali hali yake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipunguze Ngebe aje[emoji1]
Sasa kukuuliza hivyo ndiyo u'jam namna hii Surely!!!!!
Wewe nawe waja humu na jipya.Kipya kipi asichonacho mkeo
RIPAnatakiwa akaosomewe mashtaka papalepale hosptalini bila kujali hali yake!
Eeeeeh 🙆🙆🙆🙆🙆🙆sio ukali huo Sasa😂😂😂Hivi hata ukiangalia uchangiaji wangu nina gubu?
Hapana, niko peace na mcheshi mnoo..
But mtu akigusa sharubu atasimulia kuzimu.
Asee mimi mkali hadi najiogopa...kwanza sijawahi kukasirika raia akabaki mbele yangu...sharti ukimbie😂😂😂😂
Usijekusema sikukwambia
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Kufumaniwa ni uzembe wa Karne.Sijawahi fumaniwa na Mungu anisaidie, but huwa nachezesha akili haraka kwenye hatari.
Ukijijua wewe mcheoukaji unapaswa kuwa na akili ya ziada, hakupaswa kutoka pamoja na mchepujo.
Pili yeye ni kiongozi angepaswa kukausha asikimbie labda kama alikutwa chumbani akiwa kifuani, vinginevyo alipaswa kuwa mtulivu na atengeneze mazingira kuwa yalikuwa mazungumzo ya kikazi tu
Hakufikiri mara mbili kuwa yeye ni public figure, alipaswa achunge mwenendo wakeSijui kama alijiuliza madhara ambayo yangeweza kutokea
Heeee hapo ndio utajua hujui!🤣🤣🤣🤣🤣Afu sasa umkute ana gubu na ela hana au anazo afu hatoi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vetting 😂hata mama hakufanywaga vetting ujueMama Maridhiano anavyowapongezaga sasa wakati wa kuapishwa,utasikia;"Historia yako itakufuata",kumbe timu ya vetting ni Wahuni tu!
haha alafu habari tz nzima katoa huyu, sijaona pahala pengineKwa hiyo waziri Hana kosa.Hii ni privilege ya waziri kupewa gari alitumie.waziri akitaka kwenda kula mbususu achukue bolt?
Pia tumuombe Allah atukinge na vifo vya aina hii,baada ya kuzini umauti hata mda wa toba ni hafifu sana...Kama ni kweli Nampa pole sana.
Tujiandae kufanya Marktime kama ni hivyoMkuu awamu ya Pili =Awamu ya Sita
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwamba alitisha Sana Sana ata Mimi siwezi kukubali ata siku unidhalishe mbele ya watu. Hakuna kitu sipendi kama mtu kunivunjia heshima hapo ntachukia utajua lakini tukiwa wawili fresh ata msamaha wa machozi natoa hila nje uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787] thubutuHio siku aliniumiza sana maana alinibadilikia ikawa Mimi ndio Nina kosa[emoji3][emoji3][emoji3]alafu wenzake wanasema shemeji mwanaume hachungwi aisee walikuwa wananishambulia left and right nikawa peke yangu anajitutumia mimi mwanamke hawezi kuniendesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila kufika ndani alikuwa opposite na aliyoyafanya mbele ya washikaji zake
Kidogo sasa , ikifika 2030 Kuna viongozi wachache watakuwa wanamiliki utajiri mkubwa kuliko serikali ya QatarTujiandae kufanya Marktime kama ni hivyo
Na ulevi aliokuwa nao sijui kama alikumbika hata kutumia Condo..Ku.ma haina bingwa jamani tusimseme sana muheshimiwa hii ni ajali kama ajali zingine.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wewe ndio Aina ya wanaume mnatakiwa!Kuna mahali nimesema kwani si angetulia halafu amwambie mkewe kilikuwa kikao Cha kiofisi haoni Kama angesolve tatizo Kwa njia rahisi,Sasa kukimbia ni kuongeza taharuki matokeo ndio hayo...Kuna wanaume mawenge sanaSijawahi fumaniwa na Mungu anisaidie, but huwa nachezesha akili haraka kwenye hatari.
Ukijijua wewe mcheoukaji unapaswa kuwa na akili ya ziada, hakupaswa kutoka pamoja na mchepujo.
Pili yeye ni kiongozi angepaswa kukausha asikimbie labda kama alikutwa chumbani akiwa kifuani, vinginevyo alipaswa kuwa mtulivu na atengeneze mazingira kuwa yalikuwa mazungumzo ya kikazi tu