Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
Kila mwanaume ana hamu ya kuchepuka. Ukiona MTU katulia kwa mkewe ujue Kuna matatu.
1. Kalishwa limbwata
2. Hana pesa
3. Hana nguvu za kiume.
Mens by default are polygamist !! Ulisikia mwanaume anajitapa kuwa ana mtu mmoja kama sio muongo , basi itakuwa na hayo matatu uliyoainisha
 
Gari ikipata ajali ni jambo lingine.
Uzembe wa alie sababisha au chanzo cha ajali ni swala lingine.
Naelewa yote uliyosema.
Ila bima hawalipi tu, kwamba gari limepata ajali.
Lazima wajue chanzo cha ajali. Na Kama imetokana na uzembe hawatatoa fidia ya kutengeneza gari.
Ndiyo maana lazima traffic police watoe ripoti yao kuhusiana na ajali.
 
Kuna haja ya sisi wanaume kuridhika kwa kweli.
Zinafanana tofauti kiduchu mnoo.
Na hata uchakate makabila yote hupewi tuzo wala hiongezewi chocjote....zafanana[emoji23]
Hauwezi kuridhika maana uko dodoma unakutana na kila aina pisi
Msambwa umekaa juu mwingine msambwanda wa chinichini
Kiuno chembamba argg
Mwenye mguu wa bia mwingine kanyooka kama ruler
Acha we,waheshimiwa lazima wavurugwe

Ova
 
Naelewa yote uliyosema.
Ila bima hawalipi tu, kwamba gari limepata ajali.
Lazima wajue chanzo cha ajali. Na Kama imetokana na uzembe hawatatoa fidia ya kutengeneza gari.
Ndiyo maana lazima traffic police watoe ripoti yao kuhusiana na ajali.
Seeikali itampa nyingine
Hapo hasara labda roho tu

Ova
 
Hauwezi kuridhika maana uko dodoma unakutana na kila aina pisi
Msambwa umekaa juu mwingine msambwanda wa chinichini
Kiuno chembamba argg
Mwenye mguu wa bia mwingine kanyooka kama ruler
Acha we,waheshimiwa lazima wavurugwe

Ova
Bro kuna age unafika huteswi na tako, tako ni kiungo tu sawa na tumbo.
Mshamba ndio huteswa na vitu viduchu kiasi hicho
 
Bro kuna age unafika huteswi na tako, tako ni kiungo tu sawa na tumbo.
Mshamba ndio huteswa na vitu viduchu kiasi hicho
[emoji1] sasa wengi wa waheshimiwa si ni walewale wageni wa mambo
Wanawake wanaojiuza asilimia kubwa wanaenda dodoma kuwawinda watafune pesa zao

Ova
 
Kuna haja ya sisi wanaume kuridhika kwa kweli.
Zinafanana tofauti kiduchu mnoo.
Na hata uchakate makabila yote hupewi tuzo wala hiongezewi chocjote....zafanana😂
Mungu awape kuridhika Kwa kweli🤣🤣🤣🤣maana hamtulii nyie
 
3E1D52C1-C03B-4AA3-A7FA-A95A9C26FC98.jpeg
8EF429C2-CEB6-4627-82DA-F54A83992A67.jpeg
F507C455-EE88-4456-A052-1E5E3839A380.jpeg
 
Waziri! Mbuge , unamuogopa mkeo kwa lipi?
Labda kama huyo mchepuko nao uwe na influence ,
Kama ni mimi ,angekimbia mke, win some lose some game!!
Nachelea kusema kuwa bado hujakutana na aina za wanawake mkuu, utashangaa
 
Back
Top Bottom