Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Eti...zote zafanana😂😂😂Kumbe alimaanisha mbususu...ZAFANANA?😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti...zote zafanana😂😂😂Kumbe alimaanisha mbususu...ZAFANANA?😂
Ukifumaniwa basi ukutwe ulikuwa na kifaa kikali mkuu au?Mwamba mwingine huyu hapa
Wewe waongea tu ila kuna wanawake wana balaa zito..usipokuwa makini unaweza kusahau familia.Kipya kipi asichonacho mkeo
Kuna haja ya sisi wanaume kuridhika kwa kweli.Eti...zote zafanana😂😂😂
Nipo rafiki tumwombee naibu waziri apone aje akutane na v8 mpya ofcn🤣🤣 nasemajeee kazi iendeleeRafiki
Mens by default are polygamist !! Ulisikia mwanaume anajitapa kuwa ana mtu mmoja kama sio muongo , basi itakuwa na hayo matatu uliyoainishaKila mwanaume ana hamu ya kuchepuka. Ukiona MTU katulia kwa mkewe ujue Kuna matatu.
1. Kalishwa limbwata
2. Hana pesa
3. Hana nguvu za kiume.
We mbususu haina upole nduguFesto jamani na upole wote ule na ka ulokole ndani yake. Ila shetani kaamua kumuabisha aisee. Sijui atamuangaliaje mke wake , jamii na wapiga kura wake.
Bora niombee yatima na wajane.Nipo rafiki tumwombee naibu waziri apone aje akutane na v8 mpya ofcn🤣🤣 nasemajeee kazi iendelee
Naelewa yote uliyosema.Gari ikipata ajali ni jambo lingine.
Uzembe wa alie sababisha au chanzo cha ajali ni swala lingine.
Hauwezi kuridhika maana uko dodoma unakutana na kila aina pisiKuna haja ya sisi wanaume kuridhika kwa kweli.
Zinafanana tofauti kiduchu mnoo.
Na hata uchakate makabila yote hupewi tuzo wala hiongezewi chocjote....zafanana[emoji23]
Seeikali itampa nyingineNaelewa yote uliyosema.
Ila bima hawalipi tu, kwamba gari limepata ajali.
Lazima wajue chanzo cha ajali. Na Kama imetokana na uzembe hawatatoa fidia ya kutengeneza gari.
Ndiyo maana lazima traffic police watoe ripoti yao kuhusiana na ajali.
Bro kuna age unafika huteswi na tako, tako ni kiungo tu sawa na tumbo.Hauwezi kuridhika maana uko dodoma unakutana na kila aina pisi
Msambwa umekaa juu mwingine msambwanda wa chinichini
Kiuno chembamba argg
Mwenye mguu wa bia mwingine kanyooka kama ruler
Acha we,waheshimiwa lazima wavurugwe
Ova
Kuna kiongozi mwingine aliwahi kuibiwa bastola gesti!Mbona Kuna naibu waziri aliwahi kuibiwa mamilioni na changudoa hotelini akadai majambazi walimvamia.
[emoji1] sasa wengi wa waheshimiwa si ni walewale wageni wa mamboBro kuna age unafika huteswi na tako, tako ni kiungo tu sawa na tumbo.
Mshamba ndio huteswa na vitu viduchu kiasi hicho
Mungu awape kuridhika Kwa kweli🤣🤣🤣🤣maana hamtulii nyieKuna haja ya sisi wanaume kuridhika kwa kweli.
Zinafanana tofauti kiduchu mnoo.
Na hata uchakate makabila yote hupewi tuzo wala hiongezewi chocjote....zafanana😂
Sio kweli!Hakuna jipya chini ya jua Aisee,zote zafanana
Nachelea kusema kuwa bado hujakutana na aina za wanawake mkuu, utashangaaWaziri! Mbuge , unamuogopa mkeo kwa lipi?
Labda kama huyo mchepuko nao uwe na influence ,
Kama ni mimi ,angekimbia mke, win some lose some game!!
Shida nyingine nasi tunawindwa sana, unakuta mtoto mrembo kweli anataka huduma yako kwa gharama yoyote jmnMungu awape kuridhika Kwa kweli🤣🤣🤣🤣maana hamtulii nyie