Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mambo ya kufanya ukifumaniwa
1. Tafuta upenyo, utoke nduki (hata kama u mtupu) ndo pona yako. 2. Usifikirie mali zako ulizoacha eneo la tukio (nguo, simu, begi) 3.Hakikisha umekimbilia sehemu ya siri sana, mfano; Mafia, Bagamoyo (upotee kwa muda). 4. Nenda kwa kiongozi wa dini (Sheikh, Askofu, Padiri, Nabii Gwajizo) ukatubu...