Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari
 
Hakuna Personal issue kwa Kiongozi wa Serikali anayetumia resources za Umma kwa Umalaya.
 
Saz
Sasa na hizo bange zake Wacha mume afe halafu watoto wawe panyaroad. Na wakija kujua kisa kilichomuondoa baba yao na kuwaachia taabu watamchinja huyo mama

Baba alikosea harekebishwi kwa kumfanyia matendo ya aibu. Mimi naamini ukishafanya fumanizi la aibu kama hilo upendo umekufa na hamuwezi ishi tena ndani ya chumba kimoja.

Wanawake tuwe tunawaza mbali kidogo

Tusifanye mambo kwa mihemko tukaishia kuzalisha majanga makubwa zaidi

WANAUME zinaa mnazofanya mnajiangamiza wenyewe

Mit 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Sasa hapo kosa ni la mwanamke tena? 🤣🤣🤣 Mnajuaje Kama mume alikuwa anampiga na kumdharau kisa michepuko? Ukute ndoa ilimshinda alichokuwa anahitaji ni ushahidi tu Ili adai talaka.
Halafu afike eneo la tukio mume amfokee, 🤣🤣🤣 Labda angekuwa hajitaki.
 
Umalaya Jamani Utatumaliza
Mahangaiko Yote Haya Ni Kuloweka Tu
Kwahiyo Mheshimiwa Anafikiria Kuendesha Gari Kama Hilo Ni Kazi Rahisi Tu,
Anapokuwa Anamuona Dereva Anampeleka Popote Aheshimu Kazi
Yeye Amelitupa B8 Tu, Sehemu Nzuri
 
Joannah kama umeokewa nakushauri kila mmeo akitoka wewe piga magoti muombee, wanaume wanaisafiri kama mimi watakubaliana na mimi, tunawindwa kuliko kawaida.
Mimi nikiwa na pesa ya kutosha napenda kuchukua lodge tulivu isiyo na mwingiliano kivile au yenye hadhi.
Kuna lodge ukifikia usumbufu mkubwa mnoo.
Wanaume siku hizi tunawindwa kuliko mnavyofikiri, hali ni tete.
Mnasema waume zenu hawana nguvu za kiune???...hapana, kei zimekuwa cheap wanapewa sana, akirudi kwako analala au anagusa kidogo analala.

Hali tete kwetu mtuombee😁😁😆
Daaah Kwa hiyo nyie waume zetu ni maharage ya mbeya?mkiwindwa mnagawa tu tamu zetu huko kama pipi?
 
Hii Ajali Imetokea Wapi Na Mke Wa Mheshimiwa Aite Waandishi Azungumzie Hili Sakata

Umalaya Jamani Japo Hatuachi Siyo Kwamba Tumekoma Laa Hasha!! Hapa Tunasema Ajali Kazini, Kufumaniwa Kawaida
 
Back
Top Bottom