technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tatizo mnawachukulia mawaziri kama mitume hawasemwiMtaka Hana adabu kabisa. Kungelikuwa Samia I would have fired him. Angelitafuta forum ya staha kusema aliuoyasema na si kubwatuka
Kwa ukiukwaji wa haki na kuendesha nchi with impunity as if hakuna Mungu, CCM wanaanza kupata mapigo sawasawa na maandiko matakatifu katika Biblia Mwanzo 11:1-9. Mwisho wa utawala wa hii CCM ya sasa u karibu zaidi kuliko hata tulivyotarajia.Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Bora kuwachia dhambi zao na KAZI zao kuliko kuzishiriki kisa KAZI zao, fikra huru unajifanya uwe huruSijui kama atabaki salama. Nahisi kitaota nyasi soon akaungane Chalamila
Sisemi asikosolewe, akosolewe Sana Ndalichako na ana mapungufu mengi Kama tulivyo wote, lkn siyo kwa mtindo huu wa kudhàlilisha na kudharau. Mtaka ana forum nyingi za kutoa maoni yake, siyo kwa namna hii. Hata kwetu CDM, huwezi kumkosoa Mbowe kwa dharau of some sort Kama hiyo. Ndani kwetu unaweza kusema lolote.......siyo hadharani kumdhalilishaTatizo mnawachukulia mawaziri kama mitume hawasemwi
Tunatakiwa kuwa na serikali ya namna hii sasa kila mtu akosolewe na mtu yeyote akosoe bila kijali ni nani !!
Mnachosha watoto kuwasomesha masaa mengi hivoUmeona! Ila inaudhi kudanganya watoto. Sisi tulisoma usiku kucha leo ati saa 9 tu! Big no
Kama kuna dhambi zinamtafuna Ndalichako moja wapo ni hiyo ya kumkana yule mkurugenzi mwanamke mwenzake akatumbuliwa yeye akabaki kama hajui kilichotokea.Mama Ndalichako ni mbishi sana na haitoshangaza labda akina Mtaka walijaribu kumpa mikakati yao based on circumstances za Mkoa wao ila akawagomea.
Huyo mama kweli mbishi na kigeugeu kuna mkurugenzi wa taasis ya elimu hakuamini masikio na macho yake akigeukwa bungeni huku alikuwa akifuata maagizo yake matokeo akavulunda akajikuta anatumbuliwa yeye na kumuacha yeye anadunda
Ndalichako yeye siyo mwanachama wenu? Mbona aliushushua mpango wa Mtaka hadharani mchana kweupe? Au yeye kwenye vikao haingii?NGOMA IKIVUMA SAAANAA, MWISHO WAKE HUPASUKA. MTAKA UMESIFIWA SAAANA TOKA AWAM YA 5 NA UMA UKAKUONA NI MTU MWENYE WEREDI, LAKINI KWA MATAMSHI YAKO YA KUTUKANA MTEULIWA MWENZAKO HAPO UMEKOSEA SAAANA. WEWE NI MWANACHAMA WETU WA CCM HIVI UMEKOSA NJIA SAHIHI YA KUFIKISHA UJUMBE KWA KADA MWENZIO MPAKA UMEONA UMSHUSHUE BILA WOGA?? HATA KAMA HUENDA MNABIFU ZENU, NJIA ULIOITUMIA SIO SAHIHI.
Naunga mkono alichokisema.Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
View attachment 1851200
Ndalichako ni Waziri wa kawaida sana. Tokea aingie Wizarani ni kufitinisha tu wenzake
Wakuu wa taasisi wanamkoma huyu Mama. Wakuu wa idara Wizarani wanaipata habari yake.
Ndalichako badilika Mama Samia yupo tofauti na mwendazake.
Hakuna thamani uliyoongeza hapo Wizarani zaidi ya kufitinisha wakurugenzi na mamlaka za uteuzi.
Tabia ya kuwafitinisha wenzako waondolewe kwenye uteuzi acha mara 1.
Thubutu yakeee... Ni mwendo wa div IV na 0 tu. Kwa primary inaweza kuwa sawa lakini pia mtoto anakuwa hajui vitu vingiTuseme ule ukwelii kabisaa wote we've been to school...
Sa 9 hasa kwa shule za Sekondari utatoboa?.
Yaani ninyi ndiyo mnaturudisha nyuma kabisa. Kazi kutetea ujinga ujinga tu. BADILIKENI VIJANA. UNAONGELEA UONGOZI KUSOMEA, UNAUJUA? AU UNADANDIA ?Kauli ya mkuu wa mkoa ni kali, kama alisomea uongozi na akaiva hangeweza kutoa kauli kali kwa waziri. Kumbuka waziri ni ngazi ya Kitaifa ila mkuu wa mkoa ni ngazi ya kimkoa.
Thubutuuuuu RC mtaka hawezi kutolewa ni miongoni mwa best Rcs we have in our country.ht JPM aliwah mtaja km ni RC wa mfano nenda simiyu mkoa ambao kitaaluma ulikuwa unakuwa wa mwisho lkn sasa unafanya vizuriSijui kama atabaki salama. Nahisi kitaota nyasi soon akaungane Chalamila