figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
View attachment 3496646
Najua jirani zangu ambao hawana chakula wanatuma watoto wao wazunguke kwa majirani kuomba hata unga, baadhi ya maduka ya mtaani wanafungua kwa siri watu wapate chochote kile. Hali ni mbaya sana, watu wana njaa na hasira kupitiliza.Bora aapishwe mrudi kwenye hali ya kawaida, Kuna familia nyingi hawana uwezo wa kufungiwa ndani zaidi ya siku moja, hali itakua mbaya zaidi, na pia mumeona hata mkikaza mtaendelea kufa maana kama tuhuma za mamluki kuua Watanzania ni za kweli basi mjue watu wa system wako tayari kufanya chochote ili kujilinda, wakuu wa systems Afrika huwa tayari hata kusababisha mauaji ya kimbari almradi walinde maslahi yao.
Mitandao ifunguliwe, watu waingie kwenye biashara zao, maisha yaendelee.
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
View attachment 3496646
Inauma sanaNajua jirani zangu ambao hawana chakula wanatuma watoto wao wazunguke kwa majirani kuomba hata unga, baadhi ya maduka ya mtaani wanafungua kwa siri watu wapate chochote kile. Hali ni mbaya sana, watu wana njaa na hasira kupitiliza.
Hakuna kitu kinauma kama mzazi ukae nyumbani na watoto wako, huna chakula cha kuwalisha na japo una nguvu ya kufanya kazi ila huwezi kwenda kuhangaika kuleta pesa nyumbani ππ sababu ya uchu wa madaraka wa wachache.