Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,033
- 2,307
Nakuona chawa ukitetea ugali wakoView attachment 3498881
Kichwa cha habari kiko wazi. Njooni 'tumpongeze' mtukufu rais kwa 'ushindi' wa kishindo ambao haujawahi kushuhudiwa nchini. Kama ni mtihani, alipata A kali sana.