Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

Nenda vijijin ndio uje na majibu,hao wa mjini ni mixture uya race na makabila tofauti nchini na nje ya nchi.

Anyway uzi bila picha ni story ya kubumba
 
Nyuzi za kisagaji hizi, mwanamke unatamani wenzako upuuzi mtupu.
 
Tatizo la mtu akitoka dar na kuja dom anaona Kila mtu mgogo kumbe wenzake kutokepo joto kali Dodoma ndio kumetufanya tuishi hapa na dar ndipo tulipozaliwa na tutabanana palepale makaburi ya kinondoni ndipo asili yetu jua dim kwasasa wenyeji wengi wamekumbia jiji
 


Ayatollah anakaribia kutapika damu huko, hata hilo unajua kweli? Ww na makalio tu
 
% kubwa ya hao wanawake uliowaona huko waliojazia makalio na hizo hips ni wagogo πŸ™Œ na wagogo wengi ndio wapo hivyo, sasa jichanganye kijana kaa kwa kutulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…