Dodoma wanawake wamejazia kiunoni kushuka chini na hamkuwahi kusema!!!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bro, si unazijua shape za kaskazini kwanini unataka nitie aibu..??
Hiki anachokisema mariposa ni mabadiliko ya tabia ya Nchi au???

Nimekaa Dodoma miaka minne mbona sijawahi kuona hiki kinachosimuliwa, mjini hadi huko vijijini....au tumpongeze mama kwa kuleta mashape makao makuu bro 😁
 
Niseme tu ukweli,
huwa nikitembea mchana sioni watoto wakali wa kushtua, ila usiku sehemu za kujidai ndiyo unaona visu, huwa najiuliza hawa watu huwa wanajificha wapi mchana..!!

Nikaambiwa kukiwa na matukio ya Kiserikali, wajasiriamali kutoka sehemu mbalimbali wanaivamia mbuga bro, dodoma kama mbele..!
 
Basi inawezekana ni wanyama, plus wanavyuo, na watumishi kutoka pande mbali mbali.....ila wagogo kama wagogo mmh hamna bana
 
Acha uzinzi tuelimike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…