Dodoso la maswali 50 Kuelekea Sinodi ya 16 ya Maaskofu Mwaka 2023: Kanisa Katoliki Linapaswa Kutumia Zana Gani Katika Kuzisoma Alama za Nyakati?

Si busara kupuuza mawazo ya mtu
 
Fanyeni yote; chezeeni yote ila original version ya Neno la Mungu muiache kama ilivyo. Nakala halisi ya Waraka kwa Wagalatia; iliyoandikwa kwa mkono wa Mt. Paulo mwenyewe mwiache kama ilivyo! Nyaraka za Mitume Petro, Yuda, n.k. zibaki kama zilivyo! Tunatambua vitabu vinne tu vya Injili ya Yesu Kristo hatutegemei mabadiliko hata yodi wala nukta isibadilike. Agano la Kale ni lile lile; sio suala la "kwenda na wakati" kama ilivyo kwenye vitabu vingne vyote ndani ya Neno la Uzima!
 
Just for your further reflection:

The Wesleyan Quadrilateral, or Methodist Quadrilateral, is a methodology for theological reflection that is credited to John Wesley, leader of the Methodist movement in the late 18th century. The term itself was coined by 20th century American Methodist scholar Albert C. Outler.

Upon examination of Wesley's work, some people theorized that Wesley used four different sources in coming to theological conclusions.

Wesley believed, first of all, that the living core of the Christian faith was revealed in "scripture" as the sole foundational source. The centrality of scripture was so important for Wesley that he called himself "a man of one book".

However, doctrine had to be in keeping with Christian orthodox "tradition".

So, tradition became in his view the second aspect of the so-called Quadrilateral.

Furthermore, Wesley believed that faith is more than merely an acknowledgment of ideas. Thus, as a practical theologian, he contended that part of the theological method would involve "experiential" faith.

In other words, truth, if actually truth, should be vivified in the personal experience of Christians (overall, not individually).

Finally, every doctrine must be able to be defended "rationally". He did not divorce faith from reason.

Tradition, experience, and reason, however, are subject always to scripture, which is primary.

Thus, we have four sources:
  1. Tradition
  2. Experience
  3. Reason
  4. Scripture
Then:

Here are a few questions to help all of us think about these various theological sources and to kick-off our discussion:

(1) Do you think that Scripture, Tradition, Reason, and Experience inform our theology?

(2) Are there other theological sources besides these four?

(3) Do you think theological sources work independently of one another, or do you think there is interaction between the different sources?

(4) What happens when different people place different emphases on different theological sources?
 
Siku unataka uombe huduma ya mazishi wanaangalia yote hayo mengine..huyu alikua hatoi haya na haya..hili ni tatizo kubwa sana...wenzetu waislamu hawana haya mambo kabisa..uwe huendi msikitini au hutoi michango ukifariki wao wanakuzika..safi..kabisa
 
Sinodiiiiii..............!
Nimefurahi sana kanisa kutambua mchango wa waamini walei katika sinodi hii ya maaskofu 2023.

Hapa ndipo tutapata fursa ya kutembea pamoja zaidi kama kanisa.
Mungu abariki wazohili zuri kabisa la papa na mambo yaende kwa kadiri Roho mtakatifu atakavyo tuongoza.
 
Siku unataka uombe huduma ya mazishi wanaangalia yote hayo mengine..huyu alikua hatoi haya na haya..hili ni tatizo kubwa sana...wenzetu waislamu hawana haya mambo kabisa..uwe huendi msikitini au hutoi michango ukifariki wao wanakuzika..safi..kabisa
Hao ni waislamu na ni utaratibu wao. Kuna madhehebu pia ya kikristo mengi tu wanazikana tuu ilimradi mchungaji yupo available. Katoliki ni kanisa takatifu la kristo lenye misingi imara inayoasisiwa na roho wa Mungu kupitia wateule wake ndani ya mfumo thabiti.
 
Siku unataka uombe huduma ya mazishi wanaangalia yote hayo mengine..huyu alikua hatoi haya na haya..hili ni tatizo kubwa sana...wenzetu waislamu hawana haya mambo kabisa..uwe huendi msikitini au hutoi michango ukifariki wao wanakuzika..safi..kabisa

Mkuu,huduma ya mazishi unaomba kwa nani.
Huduma karibia zote kama vile ndoa,mazishi,ubatizo nk, mlei hujaza fom kutoka katika jumuiya.
Jambo la msingi ni kutambulika katika jumuiya iliyopo kwenye eneo unalo ishi,hayo mambo ya sadaka na mengine sio kigezo cha kukosa huduma ya kanisa labda kama huko ulipo kunamiongozo mingine lakini kwa kawaida kanisa katoliki mifumo yote ina fanana.

Kiongozi wa jumuiya atajaza fomu ambayo itaeleza hitajilako kwa paroko na kama wewe ni mshiriki katika jumuiya.
Kanisa linaona umuhimu mkubwa kwa walei kushikiki katika jumuiya ndogondogo pamoja na mambo mengine , inakuwa rahisi kutambua waumini pamoja na kurahisisha huduma za kiroho nk.
Hivyo ukiwa sio muhudhuriaji katika jumuiya na ukawa na hitaji la sakrament flani ama mazishi basi kiongozi wa jumuiya atajaza fomu inayo elezea hitajilako kwa paroko na katika kipengele cha ushiriki wako katika jumuiya,
kwamba wewe ni MKristo mkatoliki lakini hushiriki katika jumuiya ama ushiriki wako ni hafifu, ili utakapo peleka fomu hiyo parokiani paroko atatambua status yako kayika jumuiya na atashiriki mazungumzo kidogo na wewe labda kujua kwanini hushiriki ilikama kuna tatizo linalokufanya usishiriki jumuiya ikiwezekana liweze kupata ufumbuzi.

Baada ya hapo utapata huduma uliyoomba bila mizengwe.

Hataivyo huu ndio wakati wa kutumia hii fursa ya sinodi ya maaskofu kuandika kilakitu ambacho tunaona kanisa litatembea pamoja kwa ujumla wake.
 
Pamewahi kutokea Papa Mwafrika? Kama Ndiyo alikuwa anaitwa nani, kama Hapana ni kwa nini?

Kwa nini Majina yote ya Hao mnaowaita Watakatifu wote majina yao ni ya Kizungu na hakuna hata moja la Kiafrika?

Nisaidie na mtanziko huo kwanza kwa ufupi au kwa urefu nitakuja kukuuliza mengine.
 
Umewahi kuijua Historia na Chimbuko la kanisa la Kirumi(Roman Catholic Church), kuanza kwake, kusambaa kwake na Kutambulika kwake mpaka leo unaliona hapo au ndio wale wale umekuta baba na mama wanasali na wewe ukaunga tela? Huo utakatifu unaouzungumza wewe ni upi!?
 
1.Tradidion as a source of Christian faith , Jesus denied it.
read below
Mark 7
6 He answered and said unto them, Well hath Esaias prophesied of you hypocrites, as it is written, This people honoureth me with their lips, but their heart is far from me.

7 Howbeit in vain do they worship me, teaching for doctrines the commandments of men.

8 For laying aside the commandment of God, ye hold the tradition of men, as the washing of pots and cups: and many other such like things ye do.

9 And he said unto them, Full well ye reject the commandment of God, that ye may keep your own tradition.
 
These quotes collectively signify that Scripture are superior to Tradition.

They don't signify that Jesus totally denied the relevance of Tradition.

Traditions refer to de-facto practices as opposed to de-jure practices which are codified in Scriptures.

Yet it remains to be argued as to whether the Scripture itself is totally inerrant or otherwise.

I propose that the latter option applies.
 
Kiuhalisia hali haiko kama ulivyoeleza!
 
walishadanganywa kuwa ndo chanzo cha makanisa yote, kwamba lilitangulia kuwepo
 
Makala safi sana hii. Natamani kufahamu aliyeiandika, na ilichapishwa wapi kabla ya kuchapishwa hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…