Dodoso la maswali 50 Kuelekea Sinodi ya 16 ya Maaskofu Mwaka 2023: Kanisa Katoliki Linapaswa Kutumia Zana Gani Katika Kuzisoma Alama za Nyakati?

My advice, remain with scriptures and only scriptures because they are complete package. Nothing is missing
The other 3 sources are difficult to be verified
 
My advice, remain with scriptures and only scriptures because they are complete package. Nothing is missing
The other 3 sources are difficult to be verified
Well noted. But this advice needs to be qualified. The metanarratives found in Scriptures do not, and can not, form a complete package, with respect to the affairs of human life in the third millenium. More and better metanarratives arise daily. We have to remain open to this fact. Christianity is not, or should not be, an ideology per se.

On this view, Russell Heddendorf and Matthew Vos (New York: Unicersity Press of America, p.15), in their book, "Hidden Threads: A Christian Critique of Sociological Theory," have the following to say:





What has been said about "science" equally applies to "scriptural metanarratives," in my considered judgment.
 
Issue hapa ni kwamba watu wanataka kufeel uwepo wa Mungu kwenye ibada wanazofanya.Inaweza ikawa ni hisia unayofeel ndani yako ukiwa kwenye ibada au basi hata wonders ambazo Mungu anafanya na watu wakaona,feel na kumtukuza.
Yesu aliagiza

Mathayo 10:8
[8]Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.

Haya watu wanayona kwenye makanisa mengine lakini kwenye kanisa katoliki hawayaoni.Watu wana exposure nowdays.Hakuna inspiration ya watu kusoma Bible kwenye kanisa katoliki na wakatoliki waliamua kudedicate muda wao kusoma Doctrine za kikristu kwa Jicho la Kibiblia wamekutana na vitu vingi sana ambavyo vinacontradict na walichofundishwa na kanisa na kwa sababu hakuna utaratibu mzuri wa kuwapa majibu ya kuridhisha ya maswali yao wengi huamua kusepa tu.

If there is truth out there i will find it.It doesn't matter whether i was born a catholic,Lutheran or Muslim and once i find i will shift very quickly. I cant lose my soul for pride or fear of rejection from family or friends.
 
Tusome kwa pamoja Gospels according to Peter, Mary Magdalene and Judas Iscariot, pia the book of Enoch utajua haujui
 
Hii inahusiana na uzi huu kuhusu sinodi?
 
Jumuiya yetu ndo tunamalizia dodoso Ili twende pamoja kisinodi
 
Uzi mrefu kama maswali ya Mawakili kule Mahakamani au kama topic ya Organic Chemistry kule A - level 🤣🤣🤣
 
Uzi mrefu kama maswali ya Mawakili kule Mahakamani au kama topic ya Organic Chemistry kule A - level 🤣🤣🤣
Hadhira iliyokusudiwa na andiko hili ni wabobezi wa masuala ya kutafiti, kuchambua na kusanisi hoja. Tayari wametafiti na kuandika
  • Journal-length research papers,
  • Masters Dissertaions,
  • PhD Thesis,
  • Professorial papers, etc.
Pia, hapa tunajadili hoja inayolihusu Kanisa zima kuanzia
  • Kinshasa hadi Zanzibar,
  • Maputo hadi Morocco,
  • Cape Town hadi London,
  • Moscow hadi New York,
  • Canbera hadi Vancouver,
  • Mbinguni hadi duniani.
Lakini, kubwa zaidi ni kwamba:
  • Tunaandaa hoja kwa ajili ya kulisaidia Kanisa kufanikisha mchakato wa mageuzi yanayofanyika pole pole ndani ya miaka mitatu ijayo, 2021-2023.
  • Huu ni mchakato wa kujisahihisha kwa kuangalia tulikotoka tangu miaka 2000 iliyopita, tuliko sasa hivi, na tunakopaswa kwenda katika kipindi cha miaka 2000 ijayo.
  • Hatupaswi kukurupuka wala kuwa wavivu wa kufikiri katika kufanya kazi kubwa kiasi hiki.
Hivyo, kama hoja hii sio viwango vyako vya kirazini, kuwa mpole, baki mtazamaji, yaani, kaa mkao wa kujifunza.
 
mie nilishaacha kusubiria kanisa linijibie maswali yangu
 
Shukrani kwa maelezo.
Kinachinishangaza ni uamuzi wa TEC kuondoa U na kuweka O yaani Kristu na Kristo. Hapa sielewi mantiki yake ni nini hasa kwetu Tanzania. Nimejaribu kufanya kautafiti kadogo tu kama ifuatavo:-
1.Kilatini - Jesus Christus (hii ndio lugha ya Kanisa Katoliki la Roma yaani Roman Carholic).
2. Kiarabu - Almasih Eisaa.
3. Kitaliano - Gesu Cristo.
4. Kigiriki - Iisous Christos.
5. Kireno - Jesus Cristo.
6. Kijerumani - Jesus Christus.
7. Kiingereza - Jesus Christ.
8. Kifaransa - Jesus Christ.
9. Kispaniola - Jesucristo na
10. Kiebrania - Yehoshua.
Mie ni Mroma Mkatoliki na nilipata Kipaimala mwaka 1972 na katika miongo yangu hii sita nilikuwa nafaham kwa hapa nchini neno Kristu linatumiwa na Roman Catholic (rejea vitabu vyote hapo nyuma) na neno Kristo linatumiwa na Protestants, cha ajabu sasa naanza kusikia watawa (wakike), wanakwaya, mapadre na baadhi ya viongozi wakigeuza gia angani kuelekea kile Protestants wanakitumia.
Pana maswali mawili najiuliza,
1. Maaskofu waliopita hawakuwa sahihi na
2. Makao Makuu (Vatican) kwa kutumia Kilatini hawakuweza kutumia O na badala yake waweke U. Nimepitiapitia baadhi ya sala kwa lugha hiyo nimekuta:-
Christi,
Christe,
Christum na sijaona Christo.
Tumsifu Yesu KristU.
 
Kinachinishangaza ni uamuzi wa TEC kuondoa U na kuweka O yaani Kristu na Kristo.
Maoni yangu: Kristu na Kristo ni majina mawili, yanayoweza kurejea vitu viwili tofauti au kitu kile kile kimoja.

Endapo majina X na Y yanarejea kitu kimoja Z basi jina X ni kisawe cha jina Y, kwani majina yote mawili yanarejea kitu kile kile, na kinyume chake ni kweli.

Kwa kimombo: X and Y are identical if and only if X refers to the same thing Z as Y does, and vice versa.

Kwa hiyo najiuliza: unataka kusema kuwa Kristo na Kristu ni majina ya vitu viwili tofauti?

Kama jawabu lako ni ndiyo, unamaanisha kuwa Kristu Mkatoliki sio Kristo Mpentekoste?

Swali lako halijajipambanua vya kutosha.

Hebu lipambanue ili mjadala usonge mbele kwa uhakika.
 
Hii inahusiana na uzi huu kuhusu sinodi?
tatizo mnapotosha sana kiasi ambacho mnapoteza kizazi kijacho,ushenzi ni mwingi kiasi ambacho ifike wakati pasemwe tu kuwa ni kaz kama kazi zingine lakini sio kuwalisha watu matango pori kila kukicha mnatuharibia kizazi chetu.
 
tatizo mnapotosha sana kiasi ambacho mnapoteza kizazi kijacho,ushenzi ni mwingi kiasi ambacho ifike wakati pasemwe tu kuwa ni kaz kama kazi zingine lakini sio kuwalisha watu matango pori kila kukicha mnatuharibia kizazi chetu.
Anzisha uzi wa hayo yanayopotoshwa.. otherwise nachelea kusema una'mental case.
 
Bilappadri maziko hayakamiliki?
 
Hata mchanga wa wiki 3, akifa hawakufunga ndoa. Hakubatizwa, huduma ni Kwa mivurugano!
Kanisa limekuwa Ka kikoba, michango michango, waumini wasioiweza michango, hawahudumiwi.
Kanisa la wenye nacho mifukoni!
 
Hiyo ni dhahiri wala sio kuhukumiana. Yaani unaishi na mwenzako bila ndoa, na kufunga ndoa ni bure kabisa, labda nauli tu ya kwenda kanisani, halafu unataka watu wakuone kama Mkristu mwenzao? Unaambiwa nenda kafunge ndoa hutaki, usipopewa huduma unalalamika! Nenda leo, kila siku Jumatatu hadi Jumamosi kuna misa za asubuhi, na ukitaka ndoa itafungwa tu, acha visingizio, ukikataa basi jiandae kuzikwa na wapagani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…