Dodoso la maswali 50 Kuelekea Sinodi ya 16 ya Maaskofu Mwaka 2023: Kanisa Katoliki Linapaswa Kutumia Zana Gani Katika Kuzisoma Alama za Nyakati?

Bora kusali haya makanisa makubwa na sio haya ya manabii ambayo akifa kesho nayo yamekufa
Wengi mnachanganya kati ya
1. Kanisa = church

2. Huduma = ministry.

Hao hakina Bulldozer na mzee wa Upako and likes hayo siyo makanisa ni huduma ndio maana watu wa dini zote wanakwenda huko.

Kazi ni kwako unahitaji huduma?
 
Pamewahi kutokea Papa Mwafrika? Kama Ndiyo alikuwa anaitwa nani, kama Hapana ni kwa nini?

Kwa nini Majina yote ya Hao mnaowaita Watakatifu wote majina yao ni ya Kizungu na hakuna hata moja la Kiafrika?

Nisaidie na mtanziko huo kwanza kwa ufupi au kwa urefu nitakuja kukuuliza mengine.
Saa nyingine tunashauliwa kumjibu mtu sawa na ujinga wake.

Wewe ni Mtanzania, je kabila lako limewahi kutowa Rais? Kama hapana ni kwa nini? Na kama ndio ni nani huyo?
 
Nakereka na kisheria /kikanuni ambacho binafsi naona ni cha kujivika uungu wa kristo kwa sisi wakatoliki hasa makasisi.

Utaratibu wa kwamba muumini ambaye hakufunga ndoa ila alikuwa akiishi na mwenza (suria) akifa hawezi kupata huduma ya maziko kwa mujibu wa mila na destuti za kanisa hata kama alikuwa mshiriki mzuri ktk mambo ya kanisa ni sheria ya kipuuzi

Huko ni kuhukumu ambako maandiko yamekataa,ni kuona kibanzi kwa wenzetu tukisahau maboriti ya uzinzi ndani yetu na hata ndani ya baadhi mapadre na maaskofu.

2)katekesi katoliki inatufundisha kwamba kwa ubatizo tunafanywa kuwa wafalme, kuhani na nabii. Ndio kusema mimi muumini nisiye na daraja la kikasisi, padre, Askofu, Papa tuko sawa kwenye unabii, ukuhani na ufalme.

Sasa hoja ya kwamba lazima muumini akaungame dhambi zake mbele ya padre haina mashiko wala mantiki kwa sababu kwa ubatizo tumepewa neema ya ukuhani,ie tunao uwezo wa kuomba na kuondoa dhambi. Ukimkosea mtu nenda kamuombe nae akikusamehe na ukaomba mwenyewe kwa Mungu akurehemu dhambi hiyo itafutwa

Yesu alipokufa pazia la hekalu lilipasuka ndio kumaanisha hakuna kizuizi cha awaye yote mwenye nia ya kusali kuomba jambo moja kwa moja kwa Mwenyenzi Mungu. Kabla ya pazia kupasuka, wateule wachache ndio waliruhusiwa kuingia kuomba toba kwa ajili ya wengine.

Tumsifu Yesu Kristo

Kristo tumaini letu
Funga ndoa brother
 
Ndio mwisho wa kufikiri kwako, kuna mahali nimesema nina ndoa au sina? Jibu facts sio personal attack pimbi Wewe
Funga ndoa brother, hiyo text yako ni maneno ya mkosaji tu, and mind you, pimbi your mother.
Tulia dawa ikuingie.
 
This is an Original Own Work, first Published at Jamiiforums.com by Mama Amon.
Copy right belongs to Mama Amon and Jamiiforums.
Nitawapa watu wa gazeti fulani waitumie. Najua huwa hawaingii huku tangu Jamii Forum ilipoondoka katika hali yake ya awali. Hii makala ni nzuri..
 
Changamoto ni kwa jina la Mwandishi maana hawawezi kuandika Mama Amon!
Kuna matatu,
1. Ama waandike "Na Mwandishi wetu wa Jamii Forums"
2. Au "Kutoka Mtandao wa JamiiForums.com"
3. Mama Amon pia ni option kwa kuwa hili ndio jina alilojitambulisha nalo mwandishi.

Hapo vipi?
 
Kama hutojali ungenitumia majina halisi inbox. Ila kama hutaki kabisa utambulisho wako kuwa wazi basi nitawaambia watumie option namba 1 au 2. Ingeandikwa kwa jina la mtu inge kuwa vizuri sana!
 
Nashauri options hizo 2 zitumike.
Ni kwa sababu nzuri tu.
 
Pamewahi kutokea Papa Mwafrika? Kama Ndiyo alikuwa anaitwa nani, kama Hapana ni kwa nini?

Kwa nini Majina yote ya Hao mnaowaita Watakatifu wote majina yao ni ya Kizungu na hakuna hata moja la Kiafrika?

Nisaidie na mtanziko huo kwanza kwa ufupi au kwa urefu nitakuja kukuuliza mengine.
Hapa huwezi jibiwa sanasana utaletewa kashfa kama wanazopewa Manabii. Swali la kujiuliza kuna Nabii anafuata MTU nyumbani?.
 
Kwa nini Majina yote ya Hao mnaowaita Watakatifu wote majina yao ni ya Kizungu na hakuna hata moja la Kiafrika?
Hata watakatifu Mashahidi wa Uganda, Mt. Kagwa, Mt. Kizito na wenzake huwajui?
Huko Ethiopia kuna Mt Bakitha pia.
Acha uzembe Bwana.
 
Hapa huwezi jibiwa sanasana utaletewa kashfa kama wanazopewa Manabii. Swali la kujiuliza kuna Nabii anafuata MTU nyumbani?.
Acha kumvimbisha kichwa.
Mt. Kizito, Mt. Kagwa, Mt. Bakhita ni wazungu?
Mt. Kizito na Mt. Kagwa ni Waganda
Mt. Bakhita ni wa Ethiopia
 
Pamewahi kutokea Papa Mwafrika? Kama Ndiyo alikuwa anaitwa nani, kama Hapana ni kwa nini?

Kwani, hata kutumia google hujui bro?
Hebu soma hapa....

Three Africans have already been popes and all three of them have been canonized as saints. The earliest known African to become pope was St. Victor, who was born and raised in Africa. By coincidence, he was chosen pope in A.D. 186, in the reign of the African emperor, Septimus Severus. The second African pope was St. Miltiades, who was pope for only four years, from 311 to 314. St. Miltiades served in a colorful period, when the Emperor Constantine seized power in the Western Empire in A.D. 311 and decreed imperial tolerance for all Christians. The third African pope was St. Gelasius, who was born of African parents, but it is not clear where he was actually born, in Africa or the city of Rome. We know he was ordained to the clergy in the city of Rome at a fairly young age, and was elected to the papacy in A.D. 492, serving until A.D. 496. This was a desperate period in Roman history, when the central civil government had broken down in the wake of the barbarian invasions.

Source: PROFESSING FAITH: Catholic Church had three African popes in early centuries

“North Africa was the Bible belt of early Christianity,” said Christopher Bellitto, a church historian at Kean University in New Jersey. “Carthage was the buckle,” he added, referring to the city located in modern-day Tunisia.

So it should be no surprise that three early popes hailed from that region: the 14th pope, Victor I (circa 189-198 A.D.); the 32nd pope, Miltiades (311-314 A.D.); and the 49th pope, Gelasius I (492-496 A.D.).

According to the sixth-century Liber Pontificalis, the earliest known record of the popes, Victor was from North Africa, while Miltiades and Gelasius likely were born in Rome to families of African origin.

Interestingly, Victor was the first pope to speak Latin because Christians in Rome were still using Greek in the liturgy. As one historian has written, it was “remarkable … that Latin should have won recognition as the language of African Christianity from the outset, while the Roman church was still using Greek.”

Source: Has there ever been a black or African pope?
 
Ulichokikopi sina hakika kama umekisoma ukakielewa vyema kabla ya kukileta huku.
 
Back
Top Bottom