Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

Hivi ndugu zako wanatambua kuwa Wana mgonjwa wa akili kwenye familia yao?
Yaani ujinga ule wa China uuapply bongo? Umefikiri kifala Sana kudhani kuwa Aina Ile ya utawala wa kibabe wa China ndio ulioleta maendeleo na mapinduzi ya kiuchumi huko kwao!
Ccm imetawala miaka 62 na bado imeshindwa kuweka mifumo ya kiuchumi na mahitaji ya kijamii kwa miaka yote hiyo licha ya nchi kuwa na raslimali za asili nyingi.
Na kwanini usiitazame Taiwan, Singapore na Malaysia ambao umri wao wa Uhuru tunaendana lakini wametuacha mbali kiuchumi?
Chungulia hapo Zambia na Malawi angalau utafunguka hiyo akili iliyovia!
Ccm no jini zee isiyoweza kufikiri Tena ndio maana Lina shishibaby walikuwa wagombea wa kukishauri chama chako na kumteua rais! Mnawaacha wenye akili kubwa kukiongoza chama mnakimbilia kuongozwa na failures! What a pity! Ona aibu kwa bandiko lako hili na usidhani watanzania wa Leo ni wale wa ubwabwa na kofia za ccm! Utashangaa 2025 mtakavyogeuzwa wapinzani kwani hata Dola inakwenda kuwatupa jalalani.
 

..usaliti wa Ccm unaonekana ktk hali yetu kisiasa, kiuchumi, na kijamii.

..Nitakupa mfano mdogo. Ndege yetu imekamatwa kwasababu tunadaiwa bilioni 300+.

..Tunadaiwa kwasababu kuna mwana-Ccm alisaini mkataba mbovu. Halafu kuna mwana-Ccm mwingine kavunja mkataba kipumbavu. Matokeo yake ni hasara ya billioni 300+.

..Hizo billioni 300 ni zaidi ya bajeti ya maendeleo ya KILIMO kwa mwaka mzima.

..Wale kina mama wamesaliti chama chao.

..Ccm wanasaliti Watanzania. Hizo billion 300+ zitalipwa kwa kodi, na tozo, tunazokamuliwa mimi na wewe.

..Unaweza kushabikia Ccm, lakini make sure wanakulipa vizuri na kumaliza shida zako zote.
 
Nimecheka sana !! Wanawaacha wenye Akili 😂 kweli wenye akili huwa wanaogopewa !!
 
Abdul Nondo unamkubali kwasababu muislam sio
 
Miaka 60 maji hakuna , umeme hakuna , bila wizi wa kura mngekuwa kama TLP ya Mrema, wapumbavu sana nyie
 
Mabadiliko ya kweli yanatoka CCM kwenye dola yaani hapo apatikane jiwe mwingine tu. Ambaye hatadanjishwa.
 
Sijakataa kama ccm ni mbovu maana ndo imetuletea umaskini..Ila note maneno yangu Cdm haifai kabisa .
 
hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Akili ulizonazo zinakusaidia tu kusukunia kinyesi chooni.

Kwa taarifa yako hakuna mtu, chombo ama taasisi unayotoa mamlaka ya utawala kwa chama ama mtu.

Kwa taratibu na misingi tuliyojiwekea mamlaka ya kiutawala hupatikana kupitia chaguzi tu.
 
Akili ulizonazo zinakusaidia tu kusukunia kinyesi chooni.

Kwa taarifa yako hakuna mtu, chombo ama taasisi unayotoa mamlaka ya utawala kwa chama ama mtu.

Kwa taratibu na misingi tuliyojiwekea mamlaka ya kiutawala hupatikana kupitia chaguzi tu.
Sio kweli dola hutumika kuhakikisha ushindi wa mezani kwa hiyo mimi namuunga mkono mtoa mada tupate mtu ambaye anatoka huko huko CCM lakini mwenye maslahi ya nchi kama alivyokuwa Jiwe. Ila na yeye asife. Ingawa nilimkubali Jiwe lakini 2015 alishinda Mmasai.
 
Labda ungesema tusiwape nchi watanzania, tutafute vyama vya nje ndo vije vishike nchi hapo ningekuelewa.

Maana watu ni wale wale, leo wako CHADEMA kesho wako CCM n.k.

Tatizo letu siyo watu, siyo CHADEMA, Siyo CCM, Siyo Kinana wala Si Bashiru ila ni KATIBA na sheria nyingine mama. Kwa hiyo kama CCM kwa miaka 60 imeshindwa kutupa KATIBA BORA ni heri tuwape CHADEMA maana watatuletea KATIBA BORA au nzuri kiasi cha hii ya sasa.

Nchi inatakiwa iende tu bila kujali watu. Tunakosea sana kuangalia personalities...eti mtu kama Magufulu au kama Nani. Hatakiwa kuwa mtu bali katiba, sheria na kanuni za kuongoza nchi. Ili yeyote yule atakaye ingia mambo yaende
 
Yani unavyosema utadhani CCM ndio ina dhamana ya kumpa mtu yeyote nchi.
Nchi sio ya dola hii, nchi ni ya wananchi...Wananchi ndio tunatakiwa tuwe na mamlaka ya kumchagua wa kumpa nchi kupitia sanduku la kura.
Tukimchagua Chadema ni sisi
 
Acha kuchukua stori za vijiweni wewe
Sio stori za vijiweni huku niliko raia walichoma road kisa walitangaza mgombea wa CCM wakati wao kura walizihesabu CDM walishinda, wakala virungu night kali vya jwtz. Walikuwa hawataki CCM. Kwa hiyo adui akiwa imara sana kama CCM approach inayobidi kutumika ni Trojan Horse.
 
Kwa taarifa yako hakuna mtu, chombo ama taasisi unayotoa mamlaka ya utawala kwa chama ama mtu.

Kwa taratibu na misingi tuliyojiwekea mamlaka ya kiutawala hupatikana kupitia chaguzi tu.

This is how things should be. Bit it is not how things are.
 
Wewe Ni mpumbavu
 
Naandika hapa na anayepinga apinge siwezi kupigia kura chadema mpaka nakufa ...Mtafanya makosa yote siwezi kupigia kura chadema mpaka kauli ya mwisho hata kiwe chama cha dola ya kiislamu wakiungana na chadema tu basi kwangu ni sumu.
Kiukweli hata Mimi Chadema siwez kuipigia kura Ila na CCM walileta mataahira wengine Kama kina Mwendazake kamwe siwezi kupiga kura Wala kuwasapoti.
 
..Mwenyekiti wa Ccm iliyoongoza kwa miaka 60+ na nchi imekwama ndio unamuona wa maana?


..Hivi umeridhika na hatua ya maendeleo ambayo nchi yako imepiga? Unaamini nchi iliyopata uhuru miaka 60+ iliyopita inapaswa kuwa kama Tanzania?
Kwani Chadema ndio wataleta Maendeleo? Cha Maana hapa Ni Katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…