Donald Trump Hapepesi Macho Kuhusu Ushoga Kama Atafanikiwa Kuwa Rais wa Marekani

Mwamba ametoboa huyu hapa tena:-
Your browser is not able to display this video.

HAYA MSHOGA NJOONI MUNIUE
 
Salaam, Shalom!!

Leo hii, Rais Mteule ametangaza vita na Taasisi zinazojihusisha na USHOGA na kubadili jinsia LGBTQ duniani , Taasisi hizi Zina mizizinnchini pake,

Amedai sasa atafanikiwa sababu ana wabunge wengi kuliko Awamu iliyopita.

Ameapa kupeleka Sheria na adhabu Kali Kwa madaktari na Taasisi zinazojihusisha na uchafu huo.

Ilifika time, USA, mzazi aliweza kuruhusiwa kubadili jinsia ya mtoto aliyemzaa akiwa Bado under 5 yrs, huu UOVU ulikuwa umevuka mipaka, hopping hata majanga yatapungua nchini Pao.

Ninaona ban Kwa Museveni ikiondolewa baada ya ujio wa Donald Trump.

Hapa nchini, Taasisi hizo zitayeyuka zenyewe baada ya Nabii wa Mungu, Donald trump kuingia mamlakani.

Kwa jambo hili, ni dhahiri Waislamu na Wakristo na wasio na Dini wataungana na Nabii Donald Trump.

Mungu Mbariki Nabii Donald Trump.

Aamen.

Source: Times of India, Utube channel.
 
tatizo je Roma watakubali ?? maana rome ndo injinia na kichochezi ya ayo mambi via amerika
 
Kwa siasa za Marekani siamini kama atafanikiwa.
 
Roma ameshaangushwa hana nguvu tena
Likatokea jiwe kubwa lisilotokana na KAZI ya mikono ya mwanadamu, likaiponda Ile sanamu na jiwe Hilo likaenea duniani kote na kuwa milima Mikubwa.

Jiwe kuu Hilo, ndilo liile alilolinena Yesu, jiwe kuu la pembeni.

Utawala wa Yesu duniani katika viti vya utawala wa kibinadamu umeanza.

Tanzania pia Yuaja Messiah wwa BWANA katika KITI Cha Ufalme

Tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…