povu la nini? Itasaidia kubalansi mambo kwa jinsi muonekano ulivyo kisiasaMawazo ya kijinga Sana haya,akiwa mlutheri ndiyo itasaidia nini? Kwani shida ya Nchi hii ni viongozi wasio na Dini? Au ni mfumo mbaya wa ungozi?
He will never smount to anything. Huyu anasafirishwa ili aindolewe. Hafai ana dharau sana na mla rushwa tu ka wengine. Mama mjanja sana. Anayetufaa kwa nafasi ya urais sasa ni Dkt Samia tu vikaragosi vingine muachane navyoHizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!
Time will tell....!
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!
Time will tell....!
Kikwete alivuma na akawa mkuu wa nchi.Mshindo wa ngoma, hakuna atakae vuma akawa Mkuu wa nchi
Eboo..He will never smount to anything. Huyu anasafirishwa ili aindolewe. Hafai ana dharau sana na mla rushwa tu ka wengine. Mama mjanja sana. Anayetufaa kwa nafasi ya urais sasa ni Dkt Samia tu vikaragosi vingine muachane navyo
Hapana, ana degree ya ualimu alisomea SAUT na kipindi yuko SAUT alikuwa president wa chuo.Mwl msingi ! Kumbe
Huyo waziri wa katiba na sheria kupelekwa kwenye Sanaa na Michezo Ni sawa Unless labda kama wwwe ni kijana wa siku hizi ndumbaro ni Wakili msomi Tangu zamani hvyo kusimamia Wizara ya Katiba na sheria ilikuwa sawa...Siasa ni kipaji na bahati mkuu, haihitaji elimu.... ndio maana waziri wa katiba na sheria anapelekwa kwenye sanaa!!!!
Kazi Huwa zinafanywa na makatibu wakuu...
Ndio maana makatibu wakuu Wana mishahara mizito! Zaidi ya waziri mwenye dhamana!!! Hapa ndipo utashangaa ...!
Hii inatokea kwenye hizi nchi zetu tu za ulimwengu wa3
Kwanini mkuuHii nchi inapenda Sana ushirikiano na wanyarwanda na watu wa Oman kuliko wakenya.
Wivu tuHii nchi inapenda Sana ushirikiano na wanyarwanda na watu wa Oman kuliko wakenya.
Siyo Mlutheri...Anasali AIC.halafu ni mlutheri, umeona hata walutheri wamekuwa wapole kwenye uwekezaji wame sense kuwa rais ajeye anatoka kwao kwa mara ya kwanza tangu nchi ipate uhuru. Hiyo rekodi nusura iwekwe na Lowassa kama si ile ajali yake ya kisiasa. Mtu mwenye kariba ya Magufuli aliyeachwa ili aandaliwe kuwa rais ndiyo Mwigulu, mwana UKWATA, Mlutheri asilia
Sitisha MJADALA WAKO UCHWARA huyo DOTTO kama siyo mjomba wake Pombe kumpa Connection ungekuta anakula Vumbi la Chaki hata wewe ungekua unajuana na mtu mkubwa Serikalini ungekuta tunakuandikia Elezo Huru la kukupamba Acha ukasuku wako tafuta hela,kula ugali wako lala amkaHizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!
Time will tell....!
Huwa sibishani na mfumuliwa marinda!!!Sitisha MJADALA WAKO UCHWARA huyo DOTTO kama siyo mjomba wake Pombe kumpa Connection ungekuta anakula Vumbi la Chaki hata wewe ungekua unajuana na mtu mkubwa Serikalini ungekuta tunakuandikia Elezo Huru la kukupamba Acha ukasuku wako tafuta hela,kula ugali wako lala amka
Una maanisha kuwa Wakimbizi waliotokana na mauji ya kimbali ndio wana ng'aa Tanganyika?Hii nchi inapenda Sana ushirikiano na wanyarwanda na watu wa Oman kuliko wakenya.
Mbona nasikia huyu jamaa ni wale waliotokea kule kwa mrefuu ng'ambo ya ngaraHizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....
Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...
Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....
Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....
Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......
Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....
La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!
Time will tell....!
Ni mkatoliki?Mwigulu ni Pro Magufuli, wameona wamuandae huyu kwa rais ajae mkristo