LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
povu la nini? Itasaidia kubalansi mambo kwa jinsi muonekano ulivyo kisiasaMawazo ya kijinga Sana haya,akiwa mlutheri ndiyo itasaidia nini? Kwani shida ya Nchi hii ni viongozi wasio na Dini? Au ni mfumo mbaya wa ungozi?