Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....

Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...

Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....

Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....

Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......

Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....

La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!

Time will tell....!
He will never smount to anything. Huyu anasafirishwa ili aindolewe. Hafai ana dharau sana na mla rushwa tu ka wengine. Mama mjanja sana. Anayetufaa kwa nafasi ya urais sasa ni Dkt Samia tu vikaragosi vingine muachane navyo
 
Hajawa waziri mkuu🤔 tunapenda sana kukuza mambo
 
He will never smount to anything. Huyu anasafirishwa ili aindolewe. Hafai ana dharau sana na mla rushwa tu ka wengine. Mama mjanja sana. Anayetufaa kwa nafasi ya urais sasa ni Dkt Samia tu vikaragosi vingine muachane navyo
Eboo..
Wee mama mbona kama hamnazo?!
Em mpe mwenzio cha asbh kwanza!
 
Kwenye waziri mkuu wa kwanza kijana kulingana na heading yako nakataa.
Nyerere alikuwa waziri mkuu kabla ya kufika 40 na nadhani hiyo rekodi inaweza isitokee kwa miaka ya karibuni kwa sababu wasomi wamekuwa wengi mno.

Pia kijana wa chini kidogo ya miaka 40 wa miaka ile ni tofauti kabisa na wa miaka hii kwa upande wa upeo. Na ndio maana akina Dkt. Salim walishika madaraka makubwa ya nchi wakiwa na miaka michache sana.
 
Siasa ni kipaji na bahati mkuu, haihitaji elimu.... ndio maana waziri wa katiba na sheria anapelekwa kwenye sanaa!!!!

Kazi Huwa zinafanywa na makatibu wakuu...

Ndio maana makatibu wakuu Wana mishahara mizito! Zaidi ya waziri mwenye dhamana!!! Hapa ndipo utashangaa ...!

Hii inatokea kwenye hizi nchi zetu tu za ulimwengu wa3
Huyo waziri wa katiba na sheria kupelekwa kwenye Sanaa na Michezo Ni sawa Unless labda kama wwwe ni kijana wa siku hizi ndumbaro ni Wakili msomi Tangu zamani hvyo kusimamia Wizara ya Katiba na sheria ilikuwa sawa...

Na Kupelekwa kwenye Sanaa na Michezo ni Sawa kwani aliwahi kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ligi Kwa miaka mingi sana Huko TFF na Pia aliwahi kuwa Mwenyekuti wa Uchaguzi wa Club ya Simba

Na Pia Mwanasheria wa Simba na TFF So hizo nafasi kwake sio za kupewa kama njugu anaziweza na Ndo uwanja wake wa kujidai na anajua vizuri hizo nyadhifa
kongole kwake
 
halafu ni mlutheri, umeona hata walutheri wamekuwa wapole kwenye uwekezaji wame sense kuwa rais ajeye anatoka kwao kwa mara ya kwanza tangu nchi ipate uhuru. Hiyo rekodi nusura iwekwe na Lowassa kama si ile ajali yake ya kisiasa. Mtu mwenye kariba ya Magufuli aliyeachwa ili aandaliwe kuwa rais ndiyo Mwigulu, mwana UKWATA, Mlutheri asilia
Siyo Mlutheri...Anasali AIC.
 
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....

Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...

Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....

Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....

Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......

Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....

La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!

Time will tell....!
Sitisha MJADALA WAKO UCHWARA huyo DOTTO kama siyo mjomba wake Pombe kumpa Connection ungekuta anakula Vumbi la Chaki hata wewe ungekua unajuana na mtu mkubwa Serikalini ungekuta tunakuandikia Elezo Huru la kukupamba Acha ukasuku wako tafuta hela,kula ugali wako lala amka
 
Huwa sibishani na mfumuliwa marinda!!!

TAFUTA BASHA mwingine Akufumue!,

Mm kwangu Hiyo kitu ni HARAM!!!

WEWE NDIE PEKEE UNAEJUA KUTAFUTA HELA!?

TAFUTA PUNGA MWENZAKO MKUNANE! NA MKULANE WEE BWABWA!.... SIBISHANAGI NA MACHOKO!
 
Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo....

Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii...

Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999...na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo.... 2015 to date....

Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na kijamii kwa ujumla ulionyooka, tangu pale alipoteuliwa na Mwendazake kusimama kamati ya madini 2017....

Tangu alipoingia bungeni mara ya kwanza 2015...na kuteuliwa kusimamia ile kamati ya madini......

Nyota yake kisiasa imekuwa iking'aa siku hadi siku... haifananishwi na Mbunge yeyote kwa sasa.....

La mgambo likilia... Ujue kuna jambo!!!

Time will tell....!
Mbona nasikia huyu jamaa ni wale waliotokea kule kwa mrefuu ng'ambo ya ngara
 
MWALIMU NYEREREANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Back
Top Bottom