DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023


Nye Nye Nye Nye

Waanze tu na wahakikishe wana mabakuli ya Kozolea Kadi za Uanachama wa CCM manake mnawasifia kwa kuwa na Vitendea kazi vya kubeba makontena lukuki.

Wajiandae na hivyo vitendea kazi(crane) zao kubeba Kadi zitakazorudishwa kwa Makontena.
 
Kule Zanzibar wanaisoma namba baada ya bandari kupewa muwekezaji.

Gharama za kutumia bandari zinaenda kutokushikika,watu mtatelekeza mizigo pale.
 
Wajitusu watie pua waone!

Watajua hawajui!

Kwetu sisi hao ni wakoloni kama wakoloni wengine, na wakitia pua tutadai uhuru wetu hata kwa kuingia msituni!
 
Suala la DP World limewaumbua wasomi wengi wenye kuheshimika ndani ya nchi. Wengine ni maprofesa wakubwa na wamejikuta wakiwaingiza chaka watu kwa kuwadanganya kwamba IGA inawapa uhuru waarabu wa kumiliki kila kinachofanyika bandarini hapa Tanzania. Kichekesho cha mwaka 2023.

Leo hii zabuni zinaendelea kutangazwa na ni kuhusu uendeshaji wa bandari ile ile ambayo DPW anakwenda kuiendesha!.
 
IGA ndio hii hii ya DP World ndio hii hii iliyopita bungeni, ndio maana nimesema hili suala limetutoa jasho mpaka kwenye meno!.
 
"Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi"! Tatizo halikuwa rangi za watu, tatizo lilikuwa mkataba.
 
Nilikuwa siungi mkono suala la DP world lakini upumbavu wa TEC umenifanya niiunge mkono Serikali.

Serikali haipaswi kubadili maamuzi yake kwa mashinikizo na vitisho kutoka kwenye vikundi vya dini.
Katika ya Serikali na vikundi vya dini nani ana kiburi? Hivi vikundi vya dini vikiamua kuidobdosha Serikali unafikiri inachukua muda? Usigombane na wanaomwabudu Mungu asiyeonekana!! Historia inatuambia kuwa Mungu hashindwi .tuwasikilize na kuwaheshimu.CCM 2025 Ina wakati mgumu sana I tell you kama upinzani ukimtafuta Mtu serious lakini siyo Lissu!!

Upinzani ujitahidi kuwejeza kwenye ubunge.kwenye uraisi wapaache kwanza!!
 
Ulianza vizuri lakini umeharibu hapa, maza akikosea akaruhusu tume huru ya uchaguzi amekwisha
 
Tuambie kwanini unaona lisu afai kugombea nafasi ya urais
 
Ndio haohao wa IGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…