DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

Unamaanisha hawana akili kama viongozi wa Uingereza siyo? SAu huelewi kuwa kuna banadari mbili za Uingereza wanaendesha DP World?

Tena kubwa sana mara 100 ya kipande kidogo wanachoendesha kwetu.
We shwaini ni motoni moja kwa moja
 
Hakuna ukweli hapo. Sheria ya kuzilinda rasilimali asilia Bado Iko vizuri imekaa kizalendo ile Sheria haijafanyiwa amendment.
 
Nilikuwa siungi mkono suala la DP world lakini upumbavu wa TEC umenifanya niiunge mkono Serikali.

Serikali haipaswi kubadili maamuzi yake kwa mashinikizo na vitisho kutoka kwenye vikundi vya dini.
Hujielewi Kabisa
Utapata tabu SANA
 

una uhakika gani kama TEC na hivyo vikundi vya dini vinadeal na Mungu wa kweli?.

TEC ni Cathoric kundi moja la dini, vipi KKKT, vipi wasabato, vipi Bakwata, vipu Wasuni, vipi Shura ya maimamu, vipi wahindu, vipi Mabohora nk nk..

najaribu kufikiri kiundani.
 
Kwa hiyo watendaji wakiwa wazungu, wahindi, wafilipino, weusi basi hapo DP world inakuwa haimilikiwi tena na wajomba, hata bandari nzima mkijaza wazungu dili feki la mwarabu na chifu mangungo liko palepale.
 
Mkataba, sio dipii...
Mkataba hauna matatizo yoyote, sisi wajuaji tusiojua chochote kuhusu mikataba tunajaribu kupotosha kuhusu kilichoandikwa kwenye IGA.

Ungekuwa una matatizo TPA wasingekuwa na uwezo wa kutangaza tender za kutafuta waendeshaji wengine wa Bandari yenyewe ya Dar na zile za Bagamoyo na baadae itakuja tender ya bandari ya Tanga.
 
Kwa hiyo watendaji wakiwa wazungu, wahindi, wafilipino, weusi basi hapo DP world inakuwa haimilikiwi tena na wajomba, hata bandari nzima mkijaza wazungu dili feki la mwarabu na chifu mangungo liko palepale.
Dili huwezi kuliita feki kama huwezi kuuelezea huo ufeki wake upo vipi. Tunaingizwa choo cha kike na sisi mazima mazima tunaingia humo.
 
Hiyo IGA yenu ya kitapeli nendeni mkafungie maandazi, hakuna mkataba hapa.
 
Kwani hao Dp World wanasemaje swala la ajira kwa sisi wazawa ambao hatuna kazi?

Kwani hao Dp World wanasemaje swala la ajira kwa sisi wazawa ambao hatuna kazi?
Mkataba wao unawataka wajihusishe na utoaji elimu wa wazalendo kwenye masuala ya shipping kwa ujumla. Watasaidiana na DMI katika kuongeza uwezo wa wanafunzi wa chuo kile.
 
Hata ukipita uwanja wa ndege Dubai utakutana wa watu wa mataifa tofauti yanafanya kazi kama hayo mataifa uliyoyataja

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Punda afe mzigo ufike....

Yaani ule waraka wa kanisani utuzuie?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wamemkataa shetani na mawakala zake wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…