KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🇦🇪 UAE
We shwaini ni motoni moja kwa mojaUnamaanisha hawana akili kama viongozi wa Uingereza siyo? SAu huelewi kuwa kuna banadari mbili za Uingereza wanaendesha DP World?
Tena kubwa sana mara 100 ya kipande kidogo wanachoendesha kwetu.
Waje tu, sisi wananchi wanyonge tutafanyaje wenye nchi wakishaazimia?!
Hujielewi KabisaNilikuwa siungi mkono suala la DP world lakini upumbavu wa TEC umenifanya niiunge mkono Serikali.
Serikali haipaswi kubadili maamuzi yake kwa mashinikizo na vitisho kutoka kwenye vikundi vya dini.
Dua ya kuku hiyo.We shwaini ni motoni moja kwa moja
Katika ya Serikali na vikundi vya dini nani ana kiburi? Hivi vikundi vya dini vikiamua kuidobdosha Serikali unafikiri inachukua muda? Usigombane na wanaomwabudu Mungu asiyeonekana!! Historia inatuambia kuwa Mungu hashindwi .tuwasikilize na kuwaheshimu.CCM 2025 Ina wakati mgumu sana I tell you kama upinzani ukimtafuta Mtu serious lakini siyo Lissu!!
Upinzani ujitahidi kuwejeza kwenye ubunge.kwenye uraisi wapaache kwanza!!
Kwa hiyo watendaji wakiwa wazungu, wahindi, wafilipino, weusi basi hapo DP world inakuwa haimilikiwi tena na wajomba, hata bandari nzima mkijaza wazungu dili feki la mwarabu na chifu mangungo liko palepale.
Mkataba hauna matatizo yoyote, sisi wajuaji tusiojua chochote kuhusu mikataba tunajaribu kupotosha kuhusu kilichoandikwa kwenye IGA.Mkataba, sio dipii...
Dili huwezi kuliita feki kama huwezi kuuelezea huo ufeki wake upo vipi. Tunaingizwa choo cha kike na sisi mazima mazima tunaingia humo.Kwa hiyo watendaji wakiwa wazungu, wahindi, wafilipino, weusi basi hapo DP world inakuwa haimilikiwi tena na wajomba, hata bandari nzima mkijaza wazungu dili feki la mwarabu na chifu mangungo liko palepale.
Kwani hao Dp World wanasemaje swala la ajira kwa sisi wazawa ambao hatuna kazi?Dili huwezi kuliita feki kama huwezi kuuelezea huo ufeki wake upo vipi. Tunaingizwa choo cha kike na sisi mazima mazima tunaingia humo.
Hiyo IGA yenu ya kitapeli nendeni mkafungie maandazi, hakuna mkataba hapa.Mkataba hauna matatizo yoyote, sisi wajuaji tusiojua chochote kuhusu mikataba tunajaribu kupotosha kuhusu kilichoandikwa kwenye IGA.
Ungekuwa una matatizo TPA wasingekuwa na uwezo wa kutangaza tender za kutafuta waendeshaji wengine wa Bandari yenyewe ya Dar na zile za Bagamoyo na baadae itakuja tender ya bandari ya Tanga.
Kwani hao Dp World wanasemaje swala la ajira kwa sisi wazawa ambao hatuna kazi?
Mkataba wao unawataka wajihusishe na utoaji elimu wa wazalendo kwenye masuala ya shipping kwa ujumla. Watasaidiana na DMI katika kuongeza uwezo wa wanafunzi wa chuo kile.Kwani hao Dp World wanasemaje swala la ajira kwa sisi wazawa ambao hatuna kazi?
Huna ujualo mkuu Nyumisi.Hiyo IGA yenu ya kitapeli nendeni mkafungie maandazi, hakuna mkataba hapa.
Hata ukipita uwanja wa ndege Dubai utakutana wa watu wa mataifa tofauti yanafanya kazi kama hayo mataifa uliyoyataja
Wamemkataa shetani na mawakala zake wote.TEC wametia aibu kubwa japo haiongelewi sana mitaani. Unamkataa mmoja wa waendeshaji wakati hujui serikali ina mpango upi na bandari nyingine zilizopo.
Unamkataa mwendeshaji mmoja wa TPA wakati upo uwezekano wa wanaosali humo makanisani kuwa wamiliki wa makampuni yenye kuweza kupewa tenda ya kuendesha bandari sambamba na hao DP World!.
Hili ni tatizo linalokuwepo wakati baadhi ya viongozi wa TEC wakiwa na maslahi ya kisiasa lakini walitakiwa kutokwenda kichwakichwa walitakiwa wajipange tangu mwanzo.
TEC hawakuwa na hoja juu ya bandari....Kwa hiyo wewe ukiwekewa TEC na DPW unachagua DP W wakati ulikuwa huungi mkono.