DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

DPP na DCI waweka mapingamizi manne kufunguliwa kesi ya Makonda. Wasema Kubenea hana maslahi na maombi hayo

Wahalifu watakatifu wanalindana dhidi ya watawaliwa wenye nchi.

Tanzania nchi nzuri sana kuwa kiongozi.
 
Clouds hawathubutu maana wanajua wanaweza kufungua kesi, kisha kesho ama keshokutwa akarudi tena madarakani. Wanajua nini kitawakuta hilo likitokea.
weng hawatafikiria hili lakini ukweli mchungu jamaa(clouds),wametumia akili kubwa sana
 
DCI na DPP wanajua wazi kwamba Makonda kwa sehemu kubwa acted on behalf of JIWE, wakiruhusu kesi basi kuna mengi yataibuka na itakuwa fedheha kwa Serikali na baadhi ya 'Big fishes'.

Tazama Sabaya, alipoona hana upenyo wa kuchomoka aliona awataje Rais, Makamu na baadhi ya top officials kwamba they knew his moves na zilipata baraka toka kwao!

Sasa DC tu alitaja yale, vipi kuhusu RC ambaye we all knew alikuwa ndiyo 'mkono wa kiume' wa JIWE! Makonda akiachwa ashtakiwe kuna mengi yatakuwa exposed.

DCI na DPP wamefanya a well calculated decision.

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
Pingamizi au PO ni ndiyo mchakato wa kesi na wala siyo maamuzi.

Maamuzi yako kwa Hakimu kukubali PO au kuikataa. Mapingamizi huwekwa na hujibiwa na hizo ndiyo kazi za Mawakili.

Katika mazingira ya utawala wa sheria tunaouona kipindi cha Rais SSH, sioni kama Hakimu atakubaliana na na PO ya DCI na DPP kwa kuwa suala la masilahi ya Kubenea kwenye kesi ya Makonda liko wazi.

Kubenea ni mwananchi na Katiba inatambua haki zake kwenye Ibara 26 na 27 ya Katiba ya JMT kama inavyosema hapa;

26. Wajibu wa kutii sheria za nchi Sheria Na. 15 ya 1984 ib. 6">

(2) Kila mtu ana haki, kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria, kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.

27. Kulinda mali ya Umma Sheria Na. 15 ya 1984 ib. 6">

(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasilia ya Jamhuri ya Muungano, mali ya Mamlaka ya Nchi na mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuiheshimu mali ya mtu mwingine
 
Pingamizi au PO ni ndiyo mchakato wa kesi na wala siyo maamuzi. Maamuzi yako kwa Hakimu kukubali PO au kuikataa. Mapingamizi huwekwa na hujibiwa na hizo ndiyo kazi za Mawakili.

Katika mazingira ya utawala wa sheria tunaouona kipindi cha Rais SSH, sioni kama Hakimu atakubaliana na na PO ya DCI na DPP kwa kuwa suala la masilahi ya Kubenea kwenye kesi ya Makonda liko wazi. Kubenea ni mwananchi na Katiba inatambua haki zake kwenye Ibara 26 na 27 ya Katiba ya JMT kama inavyosema hapa;

26. Wajibu wa kutii sheria za nchi Sheria Na. 15 ya 1984 ib. 6">

(2) Kila mtu ana haki, kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria, kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.

27. Kulinda mali ya Umma Sheria Na. 15 ya 1984 ib. 6">

(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasilia ya Jamhuri ya Muungano, mali ya Mamlaka ya Nchi na mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuiheshimu mali ya mtu mwingine
Mkuu tutarudi hapa kujadili, PO inaenda kukubaliwa.

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Kushambulia media moja au mtangazaji mmoja ni kuitia hofu tasnia nzima ya uandishi wa habari isiweze kufanya kazi zake kwa uhuru na weledi unaotakiwa.

Hujawahi kusikia waandishi wanagoma kutoa habari za viongozi kwa sababu mwenzao mmoja amekamatwa?
Argument yako ina substance ila sijui kama una case law ikaongeza nyama!

Hata hivyo makonda asiposhitakiwa nadhan tayar anajihisi mishale ya moyo.

Hakuna adhabu kubwa kama kukataliwa na jamii na kuangaliwa vibaya hasa hili la kuwa muuaji!.

Hatapata raha ya kuishi kamwe! Ni kama hakuwa ameiva kufanya mazito kivile ndo mana anajificha mgongo wa kwaya na ibada!

He is already dead inside, afterall!
 
Baada ya kuusoma uzi wa Dark Days 17/03, nimeelewa kwanini wanahangaika kuweka pigamizi, nadhani branch Manager ametishia mwanga mboga -namwaga ugali. They will be further exposed
Noma sana!
 
Mwananchi hana maslahi na mwenendo wa mkuu wa mkoa wake!

Hapa ndio utaona sheria zinawekwa kulinda watawala.
 
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.

Pia soma
DPP na DCI ndo wenye maslai maaana wamepiga pesa ile kesi ya mwenyekiti ya M4C ss wanatafuta namna nyingine ya kunufaika
 
Wadau naomba kuuliza Makonda anashtakiwa kwa Kutumia Madaraka vibaya akiwa Kiongozi km Kuvamia Clouds
Kubandika Namba ya RC kwenye Magari binafsi n.k

Cha kushangaza DPP na DCI WANAPINGA Je kwanini WANAPINGA je ni HALALI kwa MKUU wa MKOA kufanya ALIYOYAFANYA MAKONDA?

Na kama Alimshtaki hana Maslahi ni NANI ANASTAHIRI KUMSHTAKI?
 
Clouds hawathubutu maana wanajua wanaweza kufungua kesi, kisha kesho ama keshokutwa akarudi tena madarakani. Wanajua nini kitawakuta hilo likitokea.
Muathirika alishatangulia mbele ya haki. Ila dunia hii Basi tu.
 
Kwa sababu wanampango nae kwa utumishi wa Baadae.
 
Back
Top Bottom