The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa CCM walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.