Umemaliza kazi.......Kama umetukanwa sheria zipo chukua hatua. Lakini kilichoruhusu mikutano ni Katiba sio wewe. Mpaka hapo inaonyesha "wanaokutukana" wana sababu ya msingi.
Halafu "walioruhusu" mikutano ni wazungu na mikopo sio wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kazi.......Kama umetukanwa sheria zipo chukua hatua. Lakini kilichoruhusu mikutano ni Katiba sio wewe. Mpaka hapo inaonyesha "wanaokutukana" wana sababu ya msingi.
Halafu "walioruhusu" mikutano ni wazungu na mikopo sio wewe
Ni kweli Mh Rais ana tukanwa.Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa ccm walimpinga sana ila hakuhofu ila hata alipowaruhusu wamejikuta hawana cha kusema zaidi ya kumlipa matusi.
Tatizo halijaanzia kwenye kuongea, tatizo ni anavyofikiri.Hivi mkuu raisi samia hana watu wa kumwambia ni jinsi gani ya kuongea? Hakuna maprofesa na wazee wa hekima wakamfunza namna ya kufikisha ujumbe kwa raia? Aibu gani hii!!!!
wenye matusi wanaofira tayari wapo mahakamani wanasubiri kuvaa sare, kwanini msimfungulie mashitaka?Namba moja ni Lissu, akishapiga saspender yake ya kudakia suruari, na kofia yake ya kaboka mchizi, akaweka mkono kiunoni. Ana matusi balaa, wazaramo wanasubiri
Kwa hiyo ukisema nchi imeuzwa Kwa Waarabu ni tusi?Na ndio maana huwezi Kuta Wana hoja ya msingi zaidi ya propaganda,kutukana na ujinga mwingine kama huo.
Unamsikia punguani mmja anasema Nchi imeuzwa Kwa Waarabu unamuulizia how? Anaanza kutukana na kuita Chawa 😁😁😁
Sio tuu ni tusi Bali ni uzushi wa kipumbavuKwa hiyo ukisema nchi imeuzwa Kwa Waarabu ni tusi?
Anataka mumuite mama na siyo Mama Abdul. Mnamkosea sana wallahi 😁Matusi ni nini? Wakisema Abdul anahonga watu wakati hana hata kazi anayofanya ya kumpatia kipato hayo ni matusi?
Katika haya matusi mazito hajajibu hata mojaNi kweli Mh Rais ana tukanwa.
Yaani kuambiwa kawafukuza Wamaasai Loliondo na Ngorongoro ili awape Waarabu ni tusi kubwa sana
Kuambiwa kawahonga Waarabu uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA nalo ni tusi la nguoni
Kuambiwa Abdul ana zunguka na pesa za kuhonga wagu haifai kabisa
Kuambiwa hauza bandari kwa Dp WORLD ni uongo
Kuambiwa mama kauza kwa Wakorea eneo la bahari yetu ni matusi
Je? Ule msitu alio wapa Waarabu mbona sio kweli mna msinvizia tuu!!
jamani muoneeni huruma Rais wetu mwadilifu
Haaa haaa huyu jamaa
daaah kweli form 4 failure mbaya ila anaweza akawa anajua ila anafanya kusudiTatizo halijaanzia kwenye kuongea, tatizo ni anavyofikiri.
Na jinsi anavyofikiri ni matokeo ya miaka na miaka ya malimbikizo ya utamaduni wa ujinga.
Si jambo la kufundishwa mara moja akaelewa, ingekuwa hivyo angefundishwa.
Tatizo hatuna chujio zuri la kupata viongozi. Tunapata watu wajinga wanakuwa viongozi.
Hilo zuio lilikuwa batili. Unconstitutional.Cjui watu wanashindwa kuelewa au bac ili mradi kupinga kila kitu,wakati Mama Samia anachukua nchi kulikuwa na zuio hilo la vyama vya upinzani kufanya siasa,yeye alilitoa hilo zuio(aliruhusu),sasa iwe aliyezuia alisigina katiba ukweli mchungu utabaki palepale mama Samia aliruhusu.